Rasimu ya sera ya gesi

Rasimu ya sera ya gesi

Joined
May 18, 2013
Posts
11
Reaction score
15
Habari zenu.
kwa umuhimu wa kupashana habari Miongoni mwa watanzania.
Wizara imeona ni vema ikaweka hapa link ambayo itawawezesha kuipata moja kwa moja Rasimu ya sera ya gesi asilia kama ilivyoandaliwa na wadau mbali mbali.http://ubuntuone.com/4DyMATV40FPGLswipEpYYZ

karibuni muipitie na tuendelee kushauriana namna bora ya kuboresha na kusimamia rasilimali zetu.
 
Back
Top Bottom