Rasimu itapita, chama kitakwama

Rasimu itapita, chama kitakwama

Sometimes hata mimi huwa najiuliza nani amemroga Samuel Sitta? I am completely shocked na ubabe anaoufanya pale mjengoni as if anatengeneza documents kwaajili ya familia yake....hata nikimsikia akiongea huwa siamini kama mtu kama yeye anaweza fanya mambo ya kijinga namna hiyo. I trusted the guy so much n i am highly disappointed na mambo anayofanya pale mjengoni so far. Wake up Samuel Sitta n come back to ur senses.
 
..huwa ninawashangaa sana huko bungeni ccm wanavyofanya mambo kama vile watanzania wa leo hawajui nani anawadanganya.....inasikitisha sana kuona sikio hili la kufa (ccm)lisilosikia dawa.....Nimewaona hata kina sitta wanapokaa bungeni wanavyopata faraja ya muda kwa kuungwa mkono na wale waliopo nao bungeni..na kusahahu kuwa wananchi wanawaona na kutambua nani muharibifu katika suala hili la katiba mpya....Inasikitisha sana....tena unawaona ma ccm walivyokua wanamshangilia gamba kuu chenge akisoma kwa mbwembwe jinsi walivyoyatupilia mbali maoni ya wananchi kwenye rasimu ya pili....Yaani unawaangalia unaona ni jinsi gani watu hawa wasivyo na aibu mbele ya watanzania...

...My take:

..waache wafanye na wamalize uasi wao...maana zimebaki siku chache tu...watakuja mitaani ....na siku itafika wananchi watatoa hukumu yao....ni suala la mda tu....Naona anguko kuu la ccm hapo 2015.....hakika..i can even swear...
 
content ya Katiba itaibeba CCM big time, trust me!!! Wala tunaofuatilia content and process... the document answer citizen priorities of which administration is definetely leaders issues and wananchi issue!

Unajua ni jinsi gani tutaweza kupata copy?
 
Chama chetu cha Mapinduzi kimejipanga,tangu mwanzo wa mchakato,kudhibiti mchakato na kulinda maslahi ya kichama. Kinaelekea kuweza. Kuyalinda maslahi ya kichama ni kulinda sehemu kubwa ya Katiba ya sasa ambayo 'inabeba' chama chetu. Pamoja na sauti zinazopazwa kila uchao na wapinzani na wanaharakati,Rasimu inakaribia kupitishwa. Chama kimejiandaa na kujipanga kufanikisha hilo.

Mambo yote yameshawekwa tayari.Ndiyo maana sasa Katibu Mkuu Kinana na ujumbe wake wanatembea pande za Tanzania kwa raha zao kujiandaa na uchaguzi ujao. Hawana hofu juu ya kupita kwa Rasimu. Itapita tu. Katiba 'mpya' itapatikana.

Amini nawaambia, CCM itayumba na kusawajika ikipitaRasimu hii. CCM itajuta bila mafanikio kudhibiti mchakato na kupitisha Rasimu. Itakuwa too late! Kila mwananchi amejiandaa kivyake. Kwasasa Polisi wanaogopwa. Ukifika muda, wananchi watatamba kwa kura zao. Itakuwa heri ungekuwepo kuona ninachokisema hapa.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Binafsi nina hamu iliyopitiliza, nikisubiri siku hii tukufu!
 
Back
Top Bottom