Wadau leo namleta hapa kiongozi ambae amekuwa kimbilio la Wanyonge kule Jimbo la Mlalo-Lushoto-Tanga. Mbunge huyu amekuwa akipambana haswa ktk kuhakikisha analeta maendeleo jimboni kwake.
Tumezoea kuwaona waheshimiwa wabunge wakionekana kila baada ya miaka minne ili kujionesha wapate kura mwaka unaofuata ila kwa huyu imekuwa tofauti. Amekuwa akifanya mikutano ya hadhara kila akipata upenyo tu kidogo, ni mbunge ambae aleshatembelea karibia kila kata toka achaguliwe mwaka mmoja uliopita, wakuu nadhani nyie ni mashahidi kuwa baadhi ya wabunge wetu toka wachaguliwe hawajarudi majimboni mwao.
Baadhi ya ahadi za mbunge huyu kijana za kichama na binafsi zinaonekana kuyoyoma.
>Amezifikia 65% ya barabara zote korofi za jimbo la mlalo
>Kuimarika kwa huduma za afya ktk zahanati nyingi ktk jimbo
>Misaada ktk shule za msingi na sekondari
>Upatikanaji wa Maji ktk vijiji vingi vya jimbo la Mlalo
>Usimamizi na uekezaji wa Mradi wa REA ktk vijiji vingi
>Misaada kwa vikundi vya watoto wznye mazingira magumu na yatima.
> Ujirani Mwema na Majimbo ya jirani nk.
Karibu Mlalo ujionee Kazi zilizotukuka za Mbunge Shangazi.
Kuna barabara kuu itokayo lushoto, kwa nini haiwekewi Lami?Hizo barabara amejenga lini? Ndani miezi 9 tu amemaliza barabara zote? Kiwango gani?? Subiri waje wadau wengine hapa usitoke povu tu
Dawa ya barabara ni lami tu sio changalawe, kokoto au chochote, ninaamini waheshimiwa watapiga kelele kwa serikali yetuSijaelewa dhumuni kuu la mada hii, aliyeelewa uniambie..Kwamba huko kila siku tumeambiwa barabara mbovu mpaka magari yanakwama , Leo tena tunaambiwa kuna barabara zimetengenezwa hapa kuna ukakasi jamani.....yaweza kuwa kuna ushabiki lakini ni vema tuangalie uhalisia.
utakuwa ndo wewe? au? anyways .Wadau leo namleta hapa kiongozi ambae amekuwa kimbilio la Wanyonge kule Jimbo la Mlalo-Lushoto-Tanga. Mbunge huyu amekuwa akipambana haswa ktk kuhakikisha analeta maendeleo jimboni kwake.
Tumezoea kuwaona waheshimiwa wabunge wakionekana kila baada ya miaka minne ili kujionesha wapate kura mwaka unaofuata ila kwa huyu imekuwa tofauti. Amekuwa akifanya mikutano ya hadhara kila akipata upenyo tu kidogo, ni mbunge ambae aleshatembelea karibia kila kata toka achaguliwe mwaka mmoja uliopita, wakuu nadhani nyie ni mashahidi kuwa baadhi ya wabunge wetu toka wachaguliwe hawajarudi majimboni mwao.
Baadhi ya ahadi za mbunge huyu kijana za kichama na binafsi zinaonekana kuyoyoma.
>Amezifikia 65% ya barabara zote korofi za jimbo la mlalo
>Kuimarika kwa huduma za afya ktk zahanati nyingi ktk jimbo
>Misaada ktk shule za msingi na sekondari
>Upatikanaji wa Maji ktk vijiji vingi vya jimbo la Mlalo
>Usimamizi na uekezaji wa Mradi wa REA ktk vijiji vingi
>Misaada kwa vikundi vya watoto wznye mazingira magumu na yatima.
> Ujirani Mwema na Majimbo ya jirani nk.
Karibu Mlalo ujionee Kazi zilizotukuka za Mbunge Shangazi.
Mungu atampa Siri ya nini bora na priority of all times ambayo lami kwenye barabara baada ya majiShangazi Fatma Karume Rahisi wa TLS ambaye ni mtetezi wa LGBT na kwa kiwango cha 5G.
Namshauri angefuata nyayo za huyu Shangazi Mwenzake mtetezi wa wanyonge
Wadau leo namleta hapa kiongozi ambae amekuwa kimbilio la Wanyonge kule Jimbo la Mlalo-Lushoto-Tanga. Mbunge huyu amekuwa akipambana haswa ktk kuhakikisha analeta maendeleo jimboni kwake.
Tumezoea kuwaona waheshimiwa wabunge wakionekana kila baada ya miaka minne ili kujionesha wapate kura mwaka unaofuata ila kwa huyu imekuwa tofauti. Amekuwa akifanya mikutano ya hadhara kila akipata upenyo tu kidogo, ni mbunge ambae aleshatembelea karibia kila kata toka achaguliwe mwaka mmoja uliopita, wakuu nadhani nyie ni mashahidi kuwa baadhi ya wabunge wetu toka wachaguliwe hawajarudi majimboni mwao.
Baadhi ya ahadi za mbunge huyu kijana za kichama na binafsi zinaonekana kuyoyoma.
>Amezifikia 65% ya barabara zote korofi za jimbo la mlalo
>Kuimarika kwa huduma za afya ktk zahanati nyingi ktk jimbo
>Misaada ktk shule za msingi na sekondari
>Upatikanaji wa Maji ktk vijiji vingi vya jimbo la Mlalo
>Usimamizi na uekezaji wa Mradi wa REA ktk vijiji vingi
>Misaada kwa vikundi vya watoto wznye mazingira magumu na yatima.
> Ujirani Mwema na Majimbo ya jirani nk.
Karibu Mlalo ujionee Kazi zilizotukuka za Mbunge Shangazi.
Karibu mgeni JFKuna barabara kuu itokayo lushoto, kwa nini haiwekewi Lami?