Rashidi Shangazi, mbunge wa kiwango cha 4G jimbo la Mlalo, Lushoto

GONGA5

Member
Dec 20, 2016
40
125
Wadau leo namleta hapa kiongozi ambae amekuwa kimbilio la Wanyonge kule Jimbo la Mlalo-Lushoto-Tanga. Mbunge huyu amekuwa akipambana haswa ktk kuhakikisha analeta maendeleo jimboni kwake.

Tumezoea kuwaona waheshimiwa wabunge wakionekana kila baada ya miaka minne ili kujionesha wapate kura mwaka unaofuata ila kwa huyu imekuwa tofauti. Amekuwa akifanya mikutano ya hadhara kila akipata upenyo tu kidogo, ni mbunge ambae aleshatembelea karibia kila kata toka achaguliwe mwaka mmoja uliopita, wakuu nadhani nyie ni mashahidi kuwa baadhi ya wabunge wetu toka wachaguliwe hawajarudi majimboni mwao.

Baadhi ya ahadi za mbunge huyu kijana za kichama na binafsi zinaonekana kuyoyoma.

>Amezifikia 65% ya barabara zote korofi za jimbo la mlalo
>Kuimarika kwa huduma za afya ktk zahanati nyingi ktk jimbo
>Misaada ktk shule za msingi na sekondari
>Upatikanaji wa Maji ktk vijiji vingi vya jimbo la Mlalo
>Usimamizi na uekezaji wa Mradi wa REA ktk vijiji vingi
>Misaada kwa vikundi vya watoto wznye mazingira magumu na yatima.
> Ujirani Mwema na Majimbo ya jirani nk.

Karibu Mlalo ujionee Kazi zilizotukuka za Mbunge Shangazi.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,764
2,000
Hizo barabara amejenga lini? Ndani miezi 9 tu amemaliza barabara zote? Kiwango gani?? Subiri waje wadau wengine hapa usitoke povu tu
Wadau leo namleta hapa kiongozi ambae amekuwa kimbilio la Wanyonge kule Jimbo la Mlalo-Lushoto-Tanga. Mbunge huyu amekuwa akipambana haswa ktk kuhakikisha analeta maendeleo jimboni kwake.

Tumezoea kuwaona waheshimiwa wabunge wakionekana kila baada ya miaka minne ili kujionesha wapate kura mwaka unaofuata ila kwa huyu imekuwa tofauti. Amekuwa akifanya mikutano ya hadhara kila akipata upenyo tu kidogo, ni mbunge ambae aleshatembelea karibia kila kata toka achaguliwe mwaka mmoja uliopita, wakuu nadhani nyie ni mashahidi kuwa baadhi ya wabunge wetu toka wachaguliwe hawajarudi majimboni mwao.

Baadhi ya ahadi za mbunge huyu kijana za kichama na binafsi zinaonekana kuyoyoma.

>Amezifikia 65% ya barabara zote korofi za jimbo la mlalo
>Kuimarika kwa huduma za afya ktk zahanati nyingi ktk jimbo
>Misaada ktk shule za msingi na sekondari
>Upatikanaji wa Maji ktk vijiji vingi vya jimbo la Mlalo
>Usimamizi na uekezaji wa Mradi wa REA ktk vijiji vingi
>Misaada kwa vikundi vya watoto wznye mazingira magumu na yatima.
> Ujirani Mwema na Majimbo ya jirani nk.

Karibu Mlalo ujionee Kazi zilizotukuka za Mbunge Shangazi.
 
KIBIKIMUNU

Senior Member
Mar 16, 2015
148
225
Sijaelewa dhumuni kuu la mada hii, aliyeelewa uniambie..Kwamba huko kila siku tumeambiwa barabara mbovu mpaka magari yanakwama , Leo tena tunaambiwa kuna barabara zimetengenezwa hapa kuna ukakasi jamani.....yaweza kuwa kuna ushabiki lakini ni vema tuangalie uhalisia.
 
pua200

Member
Dec 24, 2018
80

Dawa ya barabara ni lami tu sio changalawe, kokoto au chochote, ninaamini waheshimiwa watapiga kelele kwa serikali yetu
 
Cannibal OX

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
2,772
2,000
Shangazi Fatma Karume Rahisi wa TLS ambaye ni mtetezi wa LGBT na kwa kiwango cha 5G.
Namshauri angefuata nyayo za huyu Shangazi Mwenzake mtetezi wa wanyonge
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
3,111
2,000
Wadau leo namleta hapa kiongozi ambae amekuwa kimbilio la Wanyonge kule Jimbo la Mlalo-Lushoto-Tanga. Mbunge huyu amekuwa akipambana haswa ktk kuhakikisha analeta maendeleo jimboni kwake.

Tumezoea kuwaona waheshimiwa wabunge wakionekana kila baada ya miaka minne ili kujionesha wapate kura mwaka unaofuata ila kwa huyu imekuwa tofauti. Amekuwa akifanya mikutano ya hadhara kila akipata upenyo tu kidogo, ni mbunge ambae aleshatembelea karibia kila kata toka achaguliwe mwaka mmoja uliopita, wakuu nadhani nyie ni mashahidi kuwa baadhi ya wabunge wetu toka wachaguliwe hawajarudi majimboni mwao.

Baadhi ya ahadi za mbunge huyu kijana za kichama na binafsi zinaonekana kuyoyoma.

>Amezifikia 65% ya barabara zote korofi za jimbo la mlalo
>Kuimarika kwa huduma za afya ktk zahanati nyingi ktk jimbo
>Misaada ktk shule za msingi na sekondari
>Upatikanaji wa Maji ktk vijiji vingi vya jimbo la Mlalo
>Usimamizi na uekezaji wa Mradi wa REA ktk vijiji vingi
>Misaada kwa vikundi vya watoto wznye mazingira magumu na yatima.
> Ujirani Mwema na Majimbo ya jirani nk.

Karibu Mlalo ujionee Kazi zilizotukuka za Mbunge Shangazi.
utakuwa ndo wewe? au? anyways .
 
pua200

Member
Dec 24, 2018
80
125
Shangazi Fatma Karume Rahisi wa TLS ambaye ni mtetezi wa LGBT na kwa kiwango cha 5G.
Namshauri angefuata nyayo za huyu Shangazi Mwenzake mtetezi wa wanyonge
Mungu atampa Siri ya nini bora na priority of all times ambayo lami kwenye barabara baada ya maji
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,638
2,000
Wadau leo namleta hapa kiongozi ambae amekuwa kimbilio la Wanyonge kule Jimbo la Mlalo-Lushoto-Tanga. Mbunge huyu amekuwa akipambana haswa ktk kuhakikisha analeta maendeleo jimboni kwake.

Tumezoea kuwaona waheshimiwa wabunge wakionekana kila baada ya miaka minne ili kujionesha wapate kura mwaka unaofuata ila kwa huyu imekuwa tofauti. Amekuwa akifanya mikutano ya hadhara kila akipata upenyo tu kidogo, ni mbunge ambae aleshatembelea karibia kila kata toka achaguliwe mwaka mmoja uliopita, wakuu nadhani nyie ni mashahidi kuwa baadhi ya wabunge wetu toka wachaguliwe hawajarudi majimboni mwao.

Baadhi ya ahadi za mbunge huyu kijana za kichama na binafsi zinaonekana kuyoyoma.

>Amezifikia 65% ya barabara zote korofi za jimbo la mlalo
>Kuimarika kwa huduma za afya ktk zahanati nyingi ktk jimbo
>Misaada ktk shule za msingi na sekondari
>Upatikanaji wa Maji ktk vijiji vingi vya jimbo la Mlalo
>Usimamizi na uekezaji wa Mradi wa REA ktk vijiji vingi
>Misaada kwa vikundi vya watoto wznye mazingira magumu na yatima.
> Ujirani Mwema na Majimbo ya jirani nk.

Karibu Mlalo ujionee Kazi zilizotukuka za Mbunge Shangazi.
Mbunge najua hii ni Id yako, juzi mpambe wako aliweka uzi hapa tukampiga maswali akashindwa kujibu. Sasa tunakuomba wewe upeleke umeme na maji kijiji cha masereka kwani tunaona unapendelea vijiji vya wasambaa wenzako tu.
 
HesabuKali

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
2,096
2,000
Barabara hizi mnazochimba kwa mikono yenu ndio unataka na sisi tumsifu? Si ndio juzi tu tumesikia gari imepiga mzinga kisa barabara mbovu.
Shangazi anajitahidi ila sio kwa kiwango hicho unachotaka tuamini kuwa hakuna mbadala, anajitahidi kuzunguka kucheza ngoma zenu za asili na kina mama hilo tutamsifu na umelisahau.
Mkitaka Rashidi Shangazi apate umaarifu uliotukuka mwambieni apigane kuunganisha barabara ya lami kutoka Lushoto mjini kwenda tarafa za Mtae na Umba, yaani jimbo zima halina hata kipande cha mita 100 za lami miaka 57 toka uhuru.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom