Rashid Shamte ni nani?

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,401
4,965
naibu+waziri,+january+Makamba+na+Mkurugenzi+Mkuu+wa+Six+Telecoms,+Rashid+Shame+akiwa+na+Mkuu+wa+kampuni+ya+Main+One+Cable+Fun.jpg

1. But, according to details gathered by The Guardian on Sunday, including emails sent between October 5 and 10, this year, the IT specialist is one, Rashid Shamte, who has a very strong connection with senior IT specialists at two leading mobile companies.

Two weeks ago, Shamte received edited versions of the ten hateful messages plus the 'ten commandments' at his email address rashid.shamte@6telecoms.co.tz. In one of the email seen by this newspaper, the author says, “Brother, we have finished your assignment with my boy who seemed to be good in doing this job…I will call you shortly so that we see how to empower him financially.” “As you may be aware this is a tough job that needs time and creativity” reads another one of the emails sent to rashid.shamte@6telecoms.co.tz on October 10, this year.

Based on the emails sent to rashid.shamte@6telecoms.co.tz, Shamte seems to have been the distributor of the texts, using his IT expertise and connections with telecoms specialists to distribute the texts to millions of mobile phone users in Tanzania.

These emails also show that he has a very strong connection with one firm currently contracted by the ruling party to deal with its online communications through blogs and websites.

Source: Revealed: Kingpin behind `hateful` text messages

2. "Yupo pia rafiki yangu Rashid Shamte na vijana wenzake pale Push Mobile/Sixtelecoms. Na hawa nao pia tujaribu kufuata nyayo zao na tuwa-recognise pia kama viongozi, sio tu wale waliopo kwenye politics au wanaotaka kuingia kwenye politics." - source: January Makamba,

3. "Nilitambulisha kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Kigoda, vijana wenye teknolojia na utaratibu wa kuweza kubaini nyimbo zote zilizopigwa na redio na luninga zote, au filamu zote zilizoonyeshwa kwenye luninga, siku gani na kwa muda gani.

Mazungumzo kati ya COSOTA, wenye redio na TV na wasanii yamefanyika mara kadhaa na mradi mpya umeanzishwa na Ndugu Rashid Shamte na unaosimamiwa na produsa mkongwe hapa nchini, P-Funk, kwa ajili ya kufanikisha jambo hilo" source: January Makamba, uk 139, Tanzania mpya

Zingatia: January makamba alikuwa naibu waziri wa mawasiliano na teknolojia. Wizara iliyotakiwa kuisimamia six telecom.

cc: Pasco
 
Rashid Shamte ni mkurugenzi mtendaji wa Six Telecoms ambayo ni kampuni tanzu ya Push mobile Tanzania. Nadhani haya sio siri na ni taarifa ambazo ziko wazi kwa umma. Kampuni hizo tajwa ndio zimeendesha media campaigns pamoja na IT services zote za chama tawala katika uchaguzi mkuu.

Kama muheshimiwa January Makamba ndo alikua campaign manager wa chama tawala basi inawezekana ana uhusiano wa karibu na makampuni haya, kitu ambacho ni kawaida katika biashara kwamba unafanya kazi na mtu unamfahamu ambaye ata deliver.

Ila unapounganisha hizo dots za uwaziri uliopita, u kampeni manager na uhusiano wa haya makampuni na chama na hili tukio la jana ndo conflict of interests zinaanza kutokea. Wengine wanaojua zaidi wataongezea
mpaka mapesa yanachotwa walikuwa wapi?! fix hizi
 
Ila huyu jamaaa ni bepari ni balaaa...sijuu hata anajiamin vipi..
 
Du JANUARY MAKAMBA JIPU ??? Ndio maana inasemekana jamaa kampa uwaziri kwa shinikizo lakini sio kwa kupenda...wizaraa aliyompa anafanya juhudi kubwa kuipa umuhimu ...Ili iweze kumpa political mileage ...lakini huko mwanzo mawaziri waliopita pale hawakuweza kupata public image ....kwa kuwa zaidi ninkuratibu mambo ya muungano ambayo mengine ni classified ..

Zaidi kitu kinachoweza kumkutanisha na watu Sana na pia kupata mwanya kwa wafanyabiashara ni kuifanya NEMC Iwe na meno.....Kama Enzi zile Frederick Mpendazoe alivyokuwa Mkurugenzi ...lakini ambapo pia ilituhumiwa kutekwa na R.Mengi kupitia rafik YAke Omar Ali Juma kuwanyanyasa maadui Zake kibiashara.
 
Rashid Shamte ni mkurugenzi mtendaji wa Six Telecoms ambayo ni kampuni tanzu ya Push mobile Tanzania. Nadhani haya sio siri na ni taarifa ambazo ziko wazi kwa umma. Kampuni hizo tajwa ndio zimeendesha media campaigns pamoja na IT services zote za chama tawala katika uchaguzi mkuu.

Kama muheshimiwa January Makamba ndo alikua campaign manager wa chama tawala basi inawezekana ana uhusiano wa karibu na makampuni haya, kitu ambacho ni kawaida katika biashara kwamba unafanya kazi na mtu unamfahamu ambaye ata deliver.

Ila unapounganisha hizo dots za uwaziri uliopita, u kampeni manager na uhusiano wa haya makampuni na chama na hili tukio la jana ndo conflict of interests zinaanza kutokea. Wengine wanaojua zaidi wataongezea

Hii kampuni ilitumika kwenye Uchakachuaji wa matokea ya uchaguzi wa ccm na kuna pesa ilipitishwa huko ikiwa ni pesa za January na wenzake lakini inasemekana Rashid shamte kawadhulumu hiyo pesa huku akifukuza wale wote waliokuwa wakionyesha kutounga mkono huo mchezo wa Hatari na inasemekana pia hii ni mara ya pili Rashid anawaingiza town kwani hata uchaguzi wa 2010 aliwapiga pesa zao walizopitishia kwake.
 
Du JAANUARY MAKAMBA JIPU ??? Ndio maana inasemekana jamaa kampa uwaziri kwa shinikizo lakini sio kwa kupenda...wizaraa aliyompa anafanya juhudi kubwa kuipa umuhimu ...Ili iweze kumpa political mileage ...lakini huko mwanzo mawaziri waliopita pale hawakuweza kupata public image ....kwa kuwa zaidi ninkuratibu mambo ya muungano ambayo mengine ni classified ..

Zaidi kitu kinachoweza kumkutanisha na watu Sana na pia kupata mwanya kwa wafanyabiashara ni kuifanya NEMC Iwe na meno.....Kama Enzi zile Frederick Mpendazoe alivyokuwa Mkurugenzi ...lakini ambapo pia ilituhumiwa kutekwa na R.Mengi kupitia rafik YAke Omar Ali Juma kuwanyanyasa maadui Zake kibiashara.

Wizara ya muungano ni wizara yenye bajeti kubwa sana lakini pesa zake nyingi huliwa na wajanja hasa zile pesa za kisingizio cha vikao vya kero za muungano nk, huko makamba atapiga pesa nyingi kimya kimya kwani hakuna anayejua kuna Ulaji wa kutisha.

Kampuni ya Rashid shamte ni kampuni rafiki mkubwa wa ccm hasa Kinana na wenzake akina JK, Nape, Rajab, mangula nk, Tatizo hili litakuwa limewagusa sana ninachojua hapa lazima watafanya juu chini hiyo kampuni iendelee kama zamani kukwepa siri kuvuja zaidi.
 
naibu+waziri,+january+Makamba+na+Mkurugenzi+Mkuu+wa+Six+Telecoms,+Rashid+Shame+akiwa+na+Mkuu+wa+kampuni+ya+Main+One+Cable+Fun.jpg

1. But, according to details gathered by The Guardian on Sunday, including emails sent between October 5 and 10, this year, the IT specialist is one, Rashid Shamte, who has a very strong connection with senior IT specialists at two leading mobile companies.

Two weeks ago, Shamte received edited versions of the ten hateful messages plus the 'ten commandments' at his email address rashid.shamte@6telecoms.co.tz. In one of the email seen by this newspaper, the author says, “Brother, we have finished your assignment with my boy who seemed to be good in doing this job…I will call you shortly so that we see how to empower him financially.” “As you may be aware this is a tough job that needs time and creativity” reads another one of the emails sent to rashid.shamte@6telecoms.co.tz on October 10, this year.

Based on the emails sent to rashid.shamte@6telecoms.co.tz, Shamte seems to have been the distributor of the texts, using his IT expertise and connections with telecoms specialists to distribute the texts to millions of mobile phone users in Tanzania.

These emails also show that he has a very strong connection with one firm currently contracted by the ruling party to deal with its online communications through blogs and websites.
source: IPP MEDIA,
Revealed: Kingpin behind `hateful` text messages

2. "Yupo pia rafiki yangu Rashid Shamte na vijana wenzake pale Push Mobile/Sixtelecoms. Na hawa nao pia tujaribu kufuata nyayo zao na tuwa-recognise pia kama viongozi, sio tu wale waliopo kwenye politics au wanaotaka kuingia kwenye politics." - source: January Makamba,

3. "Nilitambulisha kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Kigoda, vijana wenye teknolojia na utaratibu wa kuweza kubaini nyimbo zote zilizopigwa na redio na luninga zote, au filamu zote zilizoonyeshwa kwenye luninga, siku gani na kwa muda gani. Mazungumzo kati ya COSOTA, wenye redio na TV na wasanii yamefanyika mara kadhaa na mradi mpya umeanzishwa na Ndugu Rashid Shamte na unaosimamiwa na produsa mkongwe hapa nchini, P-Funk, kwa ajili ya kufanikisha jambo hilo" source: January Makamba, uk 139, Tanzania mpya

zingatia: January makamba alikuwa naibu waziri wa mawasiliano na teknolojia. Wizara iliyotakiwa kuisimamia six telecom.

cc: Pasco
January makamba kapigwa pesa yake aliipitishia humo ili aje aichukue baadae Vijana wameipiga kimya kimya ndiyo maana kaamua kumwaga Ugali
 
Wizara ya muungano ni wizara yenye bajeti kubwa sana lakini pesa zake nyingi huliwa na wajanja hasa zile pesa za kisingizio cha vikao vya kero za muungano nk, huko makamba atapiga pesa nyingi kimya kimya kwani hakuna anayejua kuna Ulaji wa kutisha.

Kampuni ya Rashid shamte ni kampuni rafiki mkubwa wa ccm hasa Kinana na wenzake akina JK, Nape, Rajab, mangula nk, Tatizo hili litakuwa limewagusa sana ninachojua hapa lazima watafanya juu chini hiyo kampuni iendelee kama zamani kukwepa siri kuvuja zaidi.

Kumbe ndo maana TCRA walivovamia waliteka simu zote za jamaa mule ndani. Duh....tukio kama movie vile
 
Hashindi mtu hapo.. kwa sasa hakuna mtu kuwa juu ya sheria.. zama za kupiga mingo na vigogo wa serikali ili ukwepe kodi zimeisha.. huyo january aombe Mungu Magu asipite 2020.. la sivyo asahau hata ukuu wa wilaya..
 
January makamba kapigwa pesa yake aliipitishia humo ili aje aichukue baadae Vijana wameipiga kimya kimya ndiyo maana kaamua kumwaga Ugali
Hapa kuna DOT kubwa ya ku connect.

Atakuwa alizitoa chamani kwa ajili ya malipo feki ili badae arudishiwe sasa limebuma.....
Huyu maropes huwa analipa USD kwa kila huduma nayopewa humu humu nchini...
 
Mh.. hiyo kampuni mbona ni kama vidagaa tu ,vodacom,tigo mbona wao hawaguswi ,
 
Hapo ndipo DOT ilipo mkuu... visasi, kudhulumiana, kukomeshana n.k maana jamaa wako nyuma ya nondo kwa kosa la uhujumu uchumi lakini wahujumu wako wengi sana... tena wakubwa sana.... anzia wale wa 1% wa mkopo wa $600 Million from stanbic wako wanatesa tu uraiani.

Siyo rahisi wakam convict mtu aliyewasaidia kama Chama kuanzia uchaguzi wa 2010 nadi huu wa juzi bila sababu ya msingi. Soon Dots zote zitaungana.

Lakini hapa lesson ni kuwa kama una kampuni yako binafsi fanya yako tu epukana na hawa wanasiasa hawana permenent friends. Ni only own interests
 
Last edited:
Back
Top Bottom