Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,264
- 122,385
Oscar Kambona akihojiwa baada ya uasi wa jeshi wa mwaka 1964.....
Thanks Nyani Ngabu...It seems he was very pragmatic.
Kwa nini hakiwezi kutokea??Kizazi kama hiki hakiwezi kutokea tena nchi hii sidhani
Oscar Kambona akihojiwa baada ya uasi wa jeshi wa mwaka 1964.....
Oscar Kambona akihojiwa baada ya uasi wa jeshi wa mwaka 1964.....
Ulikuwepo?Footage hii imechukuliwa pale Forodhani Hotel ambayo kwa sasa imekuwa Court of Appeal.
You got it!
Too bad he had a falling out with Nyerere....
Nahisi kama vile Nyerere hakupenda kuwa outshined/ upstaged....Wasingeweza kukaa na Nyerere kwa muda mrefu. He was too bold!