RAR/ Zip file cracker

Cowboy

Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
27
Reaction score
2
Nahitaji kwa mtu mwenye program inayoweza ku-crack files zilizokuwa protedted na password za .zip or .rar anisaidie
aukama ana password ya Winrar_Pwd_Hacker_v6 program
 
usisumbuke mkuu only brute force can crack rar na inaweza chukua mwezi hadi mwaka kucrack password moja
 
Hapo sasa ndipo nikifika nachoka na waafrica tusivyo wavumilivu wazee wa vitu mtelemko siku zote hizo!
 
Owk then, I guess it's a dead end!
Thanx for the replies!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…