AM PROUD OF MAGUFULI
Member
- Feb 27, 2017
- 40
- 13
Unadhani gharama ya kuhudumia hiyo kitu ni kama toyota hiace??. Tanzania hatuna umeme wa uhakika kila mara mgao itaishia kuua watu tu. Kila kitu kiende kwa awamu boresha miundombinu na umeme kwanza
Haha tanzania tutabikiaga na ndoto tu za abunwasi.
Tanzania nchi Tajiri sana. Tumeshindwa hata kuwapa wahanga wa tetemeko pesa walizochangia zote zikaplekwa chato.
Hata hii nimeandika nikiwa naota
Tumeshawazoea, kila kukicha malalamiko wakati hata kumi hamchangii ktk maendeleo. Nyie subirini tu ikifika mpande mkasalimie babu na bibi zenu kule sitimbi.
Ha ha ha ha ha ha haWatanzania kwa mapicha mapicha hatujambo