Raphaeli chegeni kuuawa....!!

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
Wadau mnaofahamu kuhusu lile sakata la kutaka kuuawa kwa mbunge wetu wa zamani wa busega, mheshimiwa dr raphael masunga chegeni tunaomba mtujuze hilo sakata na suala zima la waliotaka kumuua linaendeleaje...???
 
Back
Top Bottom