Raped bya Own Brother.....

Halafu mwalimu wangu snowhite kwa nini unamchokoza Boflo wa watu? haaaa siku nyingine nitakuwa siji ujue?
FP shkamoo!
sa si ananisololea kwa spidi hiv,kwa hyo anataka kujua mizungu yangu inapungwa na nini!nikamwambia nina mivuje mingi labda we unaweza kumuazima daftari la nukuu za somo(notes)angalau anaweza akasema na kiti wangu!
 
Boflo mizungu ya wakubwa zako achana nayo, sawa mdogo wangu? na maadam ni mvivu wa kusoma daftari bhaaaas itabidi ukajifunzie mtaani ila sio kwa mwalimu wangu snowhite....namjulia mwenyewe....
 
Last edited by a moderator:

Sitishiki na mkwala mbuzi mm .....sitawacha kusarandia, iko siku nitaonewa huruma tu, au sio snowhite ?
 
Last edited by a moderator:
Boflo mizungu ya wakubwa zako achana nayo, sawa mdogo wangu? na maadam ni mvivu wa kusoma daftari bhaaaas itabidi ukajifunzie mtaani ila sio kwa mwalimu wangu snowhite....namjulia mwenyewe....

bhaelezeeee!bhaelezeee !mwambie kabisa kuwa kwenye vipindi vyetu kila siku ni kama tuna NECTA vile,full msuli pepa!asije akatoka nduki tu!:bolt:
 
Dada FP, mh!! Nina ucngizi kidogo, ila naona own brother kama ametota vile! Aah Ngoja nitoroke job nimuwahi wifi yako Preta tuianze wknd mapema! Labda muyemba dark city anaweza kuwa na idea huyu own brother kama nguvu anazo au ndo nguvu zimeisha kwa kucheat, isije ikawa kama yule nanihii yule, nanihii ah TANMO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom