Rapa mpya kutoka A Town

Rapa mpya kutoka A Town

Ninaitwa Ellisha James kutoka Arusha tuliwahi kuunda kundi moja na Motra the future,Raff Emcee na Sight Moe lililoitwa KINGS- Kijenge,Ngalimi na Sekei

Hii hapa ni ngoma yangu mpya, inaitwa #Ungalimited Tafadhali sikiliza/KUTAZAMA kisha unipe maoni yako yatakayonijenga.

Hilo kundi limefia wapi?

Halafu ngoma ya Bei yake ilikuwa kubwa sana mbona hukuipromote vya kutosha chalii
 
Uko vizuri sana , Toa mangoma yakutosha fanya promo.We si rapa mpya bro nakujua toka kipindi Cha Kings music enzi unajiita Pacha the great . Pia fanya ngoma na studio za Dar rahisi kupata featuring na wasanii wakubwa utatoka kiurahisi kipaji unacho sana. Kuwa serious na gemu Kama motraa utatoka.
 
Kwanini haubebeki ase? Wenzenu kina mchomvu na Clouds wanakuita ita ita sana pale mjengoni. Saivi hatuangalii unatokea wapi watu wa uchumi wanakwambia 'let the market force decide.
 
Ninaitwa Ellisha James kutoka Arusha tuliwahi kuunda kundi moja na Motra the future,Raff Emcee na Sight Moe lililoitwa KINGS- Kijenge,Ngalimi na Sekei

Hii hapa ni ngoma yangu mpya, inaitwa #Ungalimited Tafadhali sikiliza/KUTAZAMA kisha unipe maoni yako yatakayonijenga.

Kaka Elisha James I'm ur number one fan #keep up bro #nakuona mbal sana #be blessed man
 
Mwanangu kwa kipaji ulichonacho we c wakulia lia humu JF..
Ushauri wa bure Fanya juu chini hamia Dar...
Halafu badili jina
 
Back
Top Bottom