Rank ya DIT africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rank ya DIT africa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mayounger, Sep 16, 2012.

 1. mayounger

  mayounger Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  wadau nisaidieni jinsi ya kupata link inayoonesha rank ya chuo cha dit kimataifa...
  Nawasilisha
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,248
  Likes Received: 12,970
  Trophy Points: 280
  Lazima itakuwa nje ya 1000 ila dont look on ranks we kasome kama umechaguliwa
   
 3. mayounger

  mayounger Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  kuna mtu alinambia ni cha 3 kwa Africa ila cha ajabu nikiangalia rank ya top 100 univsty in africa siioni
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,248
  Likes Received: 12,970
  Trophy Points: 280
  huyo amekudanganya kwani hata kwa tz hakiko top 5 muhimu we kama umechaguliwa hapo jiongeze tu
   
 5. mayounger

  mayounger Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  hiv kinatambuliwa kimataifa au hata east africa?coz kuna mtu kanambia wa huko watapata shida kwenye soko la ajira wakati wa eastafrican community
   
 6. Root

  Root JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,248
  Likes Received: 12,970
  Trophy Points: 280
  TCU wanakitambua so kinaweza kuwa accredited hata nje ya tz ila mi naona ukitoka pale ni bora utafute njia ya kujiajiri maana st joseph wanakuja juu
   
 7. B

  Best Mzava Senior Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani kile ni chuo au taasisi (Dar es salam Institute of Technology) na sio University au kuna usawa kati ya Institute na University,nielewesheni wakuu
   
 8. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  VP mboa BEIJING INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY KINAFAHAMIKA NA KUTAMBULIKA DUNIANI? SEMA VIGEZO WALIOTUMIA KUZIGRED NDO DIT AIJAFANIKIWA KUPENYA KWENYE 100,JENERALI NI NZURI UKASOME SANA ILI KUFANYE MAGEUZI
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,248
  Likes Received: 12,970
  Trophy Points: 280
  MIT heheheh,CaItech
   
 10. mayounger

  mayounger Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  asante bro
   
Loading...