zaraki kenpachi
Member
- Oct 26, 2018
- 22
- 27
Plate number nyeupe ni kwa gari za biashara,, Plate number njano gari binafsi.Habari wakuu,
Naomba kujua kwa mabasi ya shule inabidi yawe na plate number za njano ama plate number nyeupe? Naona baadhi ya magari yana rangi nyeupe na mengine njano.
kubeba watoto wa shule inayofanya huduma ya elimu hapo hakuna namna ya biashara?Plate number nyeupe ni kwa gari za biashara,, Plate number njano gari binafsi.
Hapo ndo inapochanganya kidogokubeba watoto wa shule inayofanya huduma ya elimu hapo hakuna namna ya biashara?
Ni biasharakubeba watoto wa shule inayofanya huduma ya elimu hapo hakuna namna ya biashara?
Nadhani, Kama shule inakodi hilo gari kutoka kwa mtu au taasisi nyingine hapo ndo litahitajika kuweka number plates nyeupe.kubeba watoto wa shule inayofanya huduma ya elimu hapo hakuna namna ya biashara?
sio kila gari inayotumika kwenye biashara lazima iwe na namba nyeupe. Mfano wenye maduka ambao wanafanya deliveries mbona gari zao haziwi na number plates nyeupe? Au mfano malori haya si magari ya biashara kwanini hayawekwi number plates nyeupe?Uhalisia school bus ni gari la biashara sababu hao wanafunzi wanalipia nauli kwa mwezi hata kama linamilikiwa na shule yenyewe!
Kuhusu malori (HGV) sina hakika kama yanahusika na hii sheria ila cases zingine inakuwa ni ukaidi tu na ni kosa!sio kila gari inayotumika kwenye biashara lazima iwe na namba nyeupe. Mfano wenye maduka ambao wanafanya deliveries mbona gari zao haziwi na number plates nyeupe? Au mfano malori haya si magari ya biashara kwanini hayawekwi number plates nyeupe?
Hao wa probox wanakiuka kweli taratibu wanatumia gari iliyosajiliwa kwa matumizi ya binafsi kufanya biasharaKuhusu malori (HGV) sina hakika kama yanahusika na hii sheria ila cases zingine inakuwa ni ukaidi tu na ni kosa!
Noah na Probox/Succeed zishapigwa marufuku kubeba abiria baadhi ya mikoa na hawapewi vibao vyeupe ila zimejaa na vibao vya njano zinapiga routes!
Kuna makampuni yanakodisha magari na tunatumia kwa muda unaotaka as long as unalipia monthly. So ukiona plate nyeupe jua gari ya biashara au ilokodishwa kwa shule na kampuni za ukodishaji. Ukiona ya njano jua inamilikiwa na shilika husika(shule).Habari wakuu,
Naomba kujua kwa mabasi ya shule inabidi yawe na plate number za njano ama plate number nyeupe? Naona baadhi ya magari yana rangi nyeupe na mengine njano.