Rangi ya bendera kama sare ya kitchen party

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Rangi za msingi (primary colours) zenye hadhi, kueleweka na kuaminika duniani ni Nyekundu, Blue, Nyeusi, Kijani, Nyeupe na njano. Rangi hizi popote utakapozikuta duniani huwa zinatoa ujumbe unaoeleweka na kuaminika.

Nimeshangaa sana kuona chama kina bendera yenye rangi ya zambarau rangi ambayo ni ya kupumba kwa kuchanganya marangi mbalimbali na wala haielezi inawakilisha kitu gani hapa Tanzania, Afrika wala duniani. Nimetembea nchi 56 duniani sijawahi kuona bendera ya chama au taifa yenye rangi ya zambarau, labda bendera ya timu ya mpira ya Mbeya city na sare za sherehe za kitchen parties. Huu ni utani wa hali ya juu kwa watanzia waliosongwa na kero za maisha, maana rangi ya bendera inasaidia kutoa matumaini kwa watu waliokata tamaa. Rangi za bendera lazima zitoe ujumbe kwa wafuasi na kwawanaoitazama.

Nadhani hiki ni chama ambacho hakiaminiki sawa na rangi ya bendera yake. NI chama ambacho malengo yake hayaeleweki sawa na rangi ya bendera yake, hakina dira wala mwelekeo, kinatupumbaza wananchi ili tusahau tulikotoka, tulipo na tunakokwenda.
 
Bila kusahau NYEUPE/WHITE. Ni rangi ya amani kwa watu wa kabila, mataifa, dini, jinsia, na namna zote za viitwavyo binadamu.
 
... labda bendera ya timu ya mpira ya Mbeya city na sare za sherehe za kitchen parties. ...

Mbeya City (MC) wako makini Mkuu tofauti na hao wasliti ambao hata hawajui ni kwanini waliichagua hiyo rangi. Pale Mbeya Mjini (City), miti ya Jacaranda imeenea sana sana na maua yake ni exactly sana na hiyo rangi. Hivyo MC hawakufanya makosa bali wamechagua rangi halisi inayosadifu mazingira yao. Wabunifu kweli hawa. Mijacaranda na rangi zake hii hapa.
 
bendera yenye rangi nyekundu ni alama chama kitamwaga damu ili kitawale sasa hapa tanzania hakuna hiyo hadithi
 
Rangi za msingi (primary colours) zenye hadhi, kueleweka na kuaminika duniani ni Nyekundu, Blue, Nyeusi, Kijani, Nyeupe na njano. Rangi hizi popote utakapozikuta duniani huwa zinatoa ujumbe unaoeleweka na kuaminika.

Nimeshangaa sana kuona chama kina bendera yenye rangi ya zambarau rangi ambayo ni ya kupumba kwa kuchanganya marangi mbalimbali na wala haielezi inawakilisha kitu gani hapa Tanzania, Afrika wala duniani. Nimetembea nchi 56 duniani sijawahi kuona bendera ya chama au taifa yenye rangi ya zambarau, labda bendera ya timu ya mpira ya Mbeya city na sare za sherehe za kitchen parties. Huu ni utani wa hali ya juu kwa watanzia waliosongwa na kero za maisha, maana rangi ya bendera inasaidia kutoa matumaini kwa watu waliokata tamaa. Rangi za bendera lazima zitoe ujumbe kwa wafuasi na kwawanaoitazama.

Nadhani hiki ni chama ambacho hakiaminiki sawa na rangi ya bendera yake. NI chama ambacho malengo yake hayaeleweki sawa na rangi ya bendera yake, hakina dira wala mwelekeo, kinatupumbaza wananchi ili tusahau tulikotoka, tulipo na tunakokwenda.

CC Zitto
 
Last edited by a moderator:

Nadhani hiki ni chama ambacho hakiaminiki sawa na rangi ya bendera yake Zitto pita huku utoe maelezo
 
Last edited by a moderator:
Una ujumbe mzuri ila kajielimishe kidogo kuhusu zipi ni primary colours na zipi ni secondary colours.
 
Rangi nyekundu kwenye bendera yeyote ni alama ya umwagaji damu.
 
Itabidi wasemaji wa Vyama waelezee hizo rangi zinawakilisha nini.
 
Many people do not know the meaning of colours.They believe colours are nothing,insignificant and without any spiritial meaning.Colours carry occult/ spiritual meanings.Colours are used for specific chakras or psychic development.Colours can also be used to attrract or deflect certain energies.One colour can attract a number of energies.This makes it difficult to know why a colour is used in any particular situation.However in most cases colours carry a spiritual/occult significance.
Rangi za msingi (primary colours) zenye hadhi, kueleweka na kuaminika duniani ni Nyekundu, Blue, Nyeusi, Kijani, Nyeupe na njano. Rangi hizi popote utakapozikuta duniani huwa zinatoa ujumbe unaoeleweka na kuaminika.

Nimeshangaa sana kuona chama kina bendera yenye rangi ya zambarau rangi ambayo ni ya kupumba kwa kuchanganya marangi mbalimbali na wala haielezi inawakilisha kitu gani hapa Tanzania, Afrika wala duniani. Nimetembea nchi 56 duniani sijawahi kuona bendera ya chama au taifa yenye rangi ya zambarau, labda bendera ya timu ya mpira ya Mbeya city na sare za sherehe za kitchen parties. Huu ni utani wa hali ya juu kwa watanzia waliosongwa na kero za maisha, maana rangi ya bendera inasaidia kutoa matumaini kwa watu waliokata tamaa. Rangi za bendera lazima zitoe ujumbe kwa wafuasi na kwawanaoitazama.

Nadhani hiki ni chama ambacho hakiaminiki sawa na rangi ya bendera yake. NI chama ambacho malengo yake hayaeleweki sawa na rangi ya bendera yake, hakina dira wala mwelekeo, kinatupumbaza wananchi ili tusahau tulikotoka, tulipo na tunakokwenda.
 
hizi ndo pumba hapa JF kwa siku ya leo.

Aisee......sasa tuwekee rangi gani...........?....
 
Back
Top Bottom