Mkuu tambua kuwa wale tunao waita maji ya kunde pia na wao n weusitu kwan wana melanin pigments zenye kupambana na miale ya jua isiwaathiri kama wew na mim ndo maana wakichomwa na jua kwa mda mrefu ile hali hupotea na kuwa mweusi kabsaHili swali deeply wanaweza lijibu wana biology, uelewa wangu kwenye fani hiyo ni mdogo sana.
Wazungu wa south africa wanamiaka mingapi Africa, kuna wahindi weusi kule india, wanaishi pamoja na wenzao miaka mingi tu utalizungumziaje hilo?Mazingira huwa yanabadilisha genes za watu. Kitendo hiki huchukua miaka mingi sana. Kwa hiyo waafrika tunazaa watoto weusi sababu tayari genes zetu zimebadilika.
Hakuna rangi ya "asili", zote zipo tu, kinachotokea ni kwamba mazingira flani yanaoendelea rangi flani na mazingira flani yanapendelea rangi flani... Kwa hiyo watu wenye rangi flani wanasavaivu sana kwenye mazingira flani, hivyo baaada ya muda mrefu mazingira flank yanabaki na watu wenye rangi flani tu!Rangi hii imetokea tu maishani sababu ya mazingira yanayochochea kuzalishwa Melanin kwa wingi.
Rangi asili ya binadamu ni nyeupe. Kisayansi binadamu tunashare ancestor na sokwe mtu. Ukiangalia vizuri sokwe mtu chini ya manyoya yake ni mweupe.
Pia jamii za watu wa kale zaidi duniani kama wale wabushmen wa kalahari ni weupe.
Hii rangi nyeusi siyo rangi asili ya binadamu.
Nmekubal...big IQ kwelkwel...akijibu nitagUnataka kusema ma albino ndio most perfect human beings due to excessive lack of melanin? as long as melanin Is concern
Hakuna mtu amewahi sema binadamu ametokana na sokwe. Ngoja nikupe mfano, wanyama jamii ya paka kama Simba, chui, paka mwenyewe, tiger nk kisayansi inasemwa walitoka kwenye ancestor mmoja na kutikea aina mbalimbali. Ndivyo ilivyo kwetu. Sisi, sokwe, orangutan nk tumetoka kwenye ancestor mmoja.Achen uongo wew jamàa, dunian hapa watu weusi siyo weusi kwasababu za kimazingira bali nijinsi walivyo umbwa, kwan mbona mtu mweusi aliye zaliwa marekan, uingereza, ufaransa n.k mbona tunamuona akiendelea ku reproduce rangi yake ileile bwana??
1)It is a barbaric speculation to say that black people are black because of environments
2) Therefore blacks are black because of naturalism, and due to creation factor and not otherwise
#it is not fair to compare human being with gorillas and such related family, since if at all these animals could have been undergoing changes we could have seen their perfect changes to date in mikumi national park and other world parks
*Ni tafiti za kizamani ambazo tunaeza kupingananazo iwapo mtu mmoja alinyanyuka na kuiaminisha dunia kuwa binadam katokana na sokwe/ nyani, lakin vile vile et mtu mweusi ni mweusi kwasabab ya mazngira.
Tafiti hii inaeza kupingwa kama bwana Magellan alivyo pinga tafiti iliyosema et dunia ni tambalale.
Najivunia kuwa mtu mweusi (muafrika) maana najua mungu aliniumba hivyo kwa sababu zake, hataivyo rangi nyeusi ni ya kipekee dunian, almost 15% ndo idadi ya watu weusi na75% ni wale weupe.
Muda waliokaa ni mchache sana kubadilisha genes za mtu. Lakini pia kumbuka kusini mwa Africa jua siyo kali na ndiyo bushmen ni weupe, hawa walitoka East Africa(Tanzania) lakini wenzao waliowaacha, wahadzabe na wasandawe siyo weupe. Hawa wa bushmen(San/wakhosa) na wasandawe na wahadzabe ni jamii moja ya watu.Hakuna rangi ya "asili", zote zipo tu, kinachotokea ni kwamba mazingira flani yanaoendelea rangi flani na mazingira flani yanapendelea rangi flani... Kwa hiyo watu wenye rangi flani wanasavaivu sana kwenye mazingira flani, hivyo baaada ya muda mrefu mazingira flank yanabaki na watu wenye rangi flani tu!
Navuta picha ya mchezaji wa Real Madrid aliyehamia timu ya Tottenham Spurs hivi majuzi!Hili ni kweli kabisa na si sahihi waafrika kufananishwa na sokwe na hali sokwe ni weupe.
Rangi hii imetokea tu maishani sababu ya mazingira yanayochochea kuzalishwa Melanin kwa wingi.
Rangi asili ya binadamu ni nyeupe. Kisayansi binadamu tunashare ancestor na sokwe mtu. Ukiangalia vizuri sokwe mtu chini ya manyoya yake ni mweupe.
Pia jamii za watu wa kale zaidi duniani kama wale wabushmen wa kalahari ni weupe.
Hii rangi nyeusi siyo rangi asili ya binadamu.
Hiyo siyo sababu, Hata ngozi nyeusi haiwezi kuhimili kuishi maeneo ambayo hayana jua la kutosha.Kutokana na matatizo ya ngozi nyeupe, naomba kutofautiana na mtazamo wako.
Ngozi nyeupe haiwezi stahimili jua kali. Ngozi nyeusi inaweza.
Huko zamani kabla ya moto kugunduliwa, jua ndio lilikua chanzo pekee cha joto, sasa hiyo ngozi nyeupe iliweza vipi kustahimili zama hizo?
lakini jua la kutosha limekuwepo siku zote, sijui umenielewa?Hiyo siyo sababu, Hata ngozi nyeusi haiwezi kuhimili kuishi maeneo ambayo hayana jua la kutosha.
Hata baridi imekuwepo siku zote.lakini jua la kutosha limekuwepo siku zote, sijui umenielewa?
kwa hiyo ngozi nyeupe ilistahimili hiyo baridi?Hata baridi imekuwepo siku zote.
Ngozi ya mtu mweusi inahitaji jua la kutosha ili kutengeneza vitamin, akikaa kwenye sehemu ambazo hakuna jua la kutosha hufa kutokana na upungufu wa vitamin D. Ilikuwa hivyo kipindi hatujui vitamin D ni nini na hupatikana wapi.kwa hiyo ngozi nyeupe ilistahimili hiyo baridi?
aliishi msituni katika bara lipi na eneo gani katika hilo bara?Ngozi ya mtu mweusi inahitaji jua la kutosha ili kutengeneza vitamin, akikaa kwenye sehemu ambazo hakuna jua la kutosha hufa kutokana na upungufu wa vitamin D. Ilikuwa hivyo kipindi hatujui vitamin D ni nini na hupatikana wapi.
Mtu mweupe akiishi kwenye maeneo yenye jua kali huchumwa na jua na hilo hufanya vitamini inayoitwa folic acid iliyo kwenye ngozi kuharibika. Hiki huleta kifo.
Lakini kiasili binadamu alikuwa mweupe na aliishi msituni ambako hakuna jua kali.