Rangi nyeusi si rangi ya asili ya binadamu

Hivi kuna mtu mweupe 😳 Sijawahi kumuona🤣, unahifahamu rangi nyeupe lakini
 
Kitabu gani
 
Hivi kweli rangi asilia ya binadamu Ni nyeupe?au rangi za watu zilikua zinabadilika kutoka sehemu za afrika kwenda ulaya na mashariki ya mbali ambapo mazingira yalikua Ni tofauti na je binadamu wakwanza katika historia ya kisayansi au kidini aliishi bara lipi na alikua na rangi ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisayansi binadamu wa kwanza au niseme ancestor wetu aliishi kwenye misitu ya Afrika mashariki na alikuwa mweupe.
 
Kifungu hiki kinapatikana wapi? Inaonesha jinsi gani rangi nyeusi inavyodhalilishwa, tangu enzi na enzi!
 

Gene transformation as far as mutation
 
Bro ni rahisi mwafrika kuntwa dawa na kuwa mweupe kama mzungu, ila mzingu kuwa mwafrica haiwezekani, binafam wote ni weusi, weipe ni sio asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…