Rangi adimu

Mkuu, kama weupe asilia hamna tabu. Shida ni ule wa dukani a.k.a kununua kansa ya ngazi
Nimekusoma... wengi fuata mkumbo... kama akikutana na huyo dada sijui hata kama atamuangalia au kumuwazia ataangalia vyeupe dawa tu.. ila humu utasikia black is beautiful..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…