Rangi adimu

rangi kama hii ni itakuja kuwa adimu kwa kizazi kijacho..
 
Aisee...!
Hii Rangi inapotea kwa kasi sana kama tembo wa Tz na Africa nzima!
Jangili mkuu ni mikorogo Tuwaombee kwa Mungu watengenezaji na watumiaji waache mara moja!
 
Wengi mlio comment embu wekeni picha za mademu zenu kama siyo weupe wote... ila hapa mnajifanya black is beautiful...
 
Wengi mlio comment embu wekeni picha za mademu zenu kama siyo weupe wote... ila hapa mnajifanya black is beautiful...
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mi na Vyeusi Mangala tofauti kabisa
 
Hakuna kitu bora kama rangi asilia. Yoyote iwayo. Black beauty original!
 
Wengi mlio comment embu wekeni picha za mademu zenu kama siyo weupe wote... ila hapa mnajifanya black is beautiful...
Mkuu, kama weupe asilia hamna tabu. Shida ni ule wa dukani a.k.a kununua kansa ya ngazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…