Lipa namba haikudhamiriwa kuwa na makato yoyote yale, ilikuwa mahususi kwaajili ya kufanya malipo ya bidhaa ama huduma badala ya kutumia cash.
Mawakala wakaitumia hiyo kuwa fursa ya kutumia kupiga hela ya juu kwa juu badala ya kusubiri commission kutoka kwa kampuni za simu.
Ndiyo maana hakuna mkeka wa makato ya lipa namba. Kwahiyo unavyoenda kwa wakala ndivyo anavyokupokea