Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

Range ya basic ya Mhasibu level ya degree NHIF

beekeeper

Member
Joined
Aug 15, 2021
Posts
39
Reaction score
48
Habari wadau. Naomba kujua range ya basic salary ya Mhasibu level ya degree wa NHIF. Naomba kuwasilisha
 
Hongera mkuu kwa kupata hiyo nafasi.

Ngoja waje kukupa muongozo
 
Sijaipata Ila naulizia nifahamu mana nimepata option ya kuhamia ya taasis mbili za serikl mojawapo hio ndio natk nilinganishe ili nijue niende wap kat ya nhif au Hy taasis
Sasa hiyo nyingine mbona huitaji. Taja zote tukushauri vizuri.
 
Nenda Kafanye Kazi Kule Hakuna Njaa Cash Zao Zimenyooka
 
Haiwezi kuwa chini ya 3.7mil kama unaanza ila kama mzoefu nahisi kweny 4.2mil ila kati ya hao NHIF na NSSF kuna mpaka 6mil kama sinakosea ila sijajua yupi inagawa mmona wapo hapo
 
Back
Top Bottom