Gavana parefu sana sio hapo ni siri huwezi juaMshahara wa Gavana BOT huo
Gavana parefu sana sio hapo ni siri huwezi juaMshahara wa Gavana BOT huo
Hakuna siri ya mshahara SerikaliniGavana parefu sana sio hapo ni siri huwezi jua
Thanx kwa ushauriNenda NHIF salary nzuri na route kibao zipo hutajutia
Asante kwa taarifa hiziHaiwezi kuwa chini ya 3.7mil kama unaanza ila kama mzoefu nahisi kweny 4.2mil ila kati ya hao NHIF na NSSF kuna mpaka 6mil kama sinakosea ila sijajua yupi inagawa mmona wapo hapo
Mchakato niliuanza muda kwel tangu mwaka WA fedha 2018/19. Nikajibw endapo nafasi ikitokea ntajulishwa. 2019/20 nikaomba tena na 2020/21 nikaomba tena ndio SA hv mwanga umepatikana. . Niliandika barua ya kuomba kuhamia nikapitisha MWA mwajiri wangu nikapeleka kote. Nilijibiwa hakuna nafasi Niliandika karb mara tatu. Ni kujaribu na kutokata tamaaUmewezaje kupata transfer?
Mimi mwenzio nimechoka kufanya Kazi halmashauri, Nahitaji kuhama hata leo.
Tupeane CONNECTION basi.
#YNWA
Huwa wanalipwa zaidi. Kuwa BOT sio shida mzee. Kuna private companies zinalipa milioni 20, milioni 36, million 45 na bado sio CEO.Hakuna siri ya mshahara Serikalini
Siri ni malupulupu tu na safari za kimya kimya
Mishahara ya serikali ipo wazi kwa kila level
Ndio maana watu wanaacha ukurugenzi BOT kwenda Bank za Kawaida kuwa wafanyakazi ili wapate pesa zaidi
Daaahh, ebu jaribu kumuachia mwenzako(aliye kitaa) hiyo kazi kwa muda wa mwezi mmoja tu. Halafu uje ulinganishe kukaa bila kazi (hasa ukiwa huna chanzo cha uchumi) na kuchoka kufanya kazi Halmashauri.Umewezaje kupata transfer?
Mimi mwenzio nimechoka kufanya Kazi halmashauri, Nahitaji kuhama hata leo.
Tupeane CONNECTION basi.
#YNWA
Huwa wanalipwa zaidi. Kuwa BOT sio shida mzee. Kuna private companies zinalipa milioni 20, milioni 36, million 45 na bado sio CEO.
BOT is just a brand bwana mdogo
Binadamu mwenye mafanikio ni yule aliyetamani vya juu yake na binadamu mwenye MAFANIKIO ZAIDI ni yule aliyetamani ZAIDI VYA JUU YAKE ZAIDI.Daaahh, ebu jaribu kumuachia mwenzako(aliye kitaa) hiyo kazi kwa muda wa mwezi mmoja tu. Halafu uje ulinganishe kukaa bila kazi (hasa ukiwa huna chanzo cha uchumi) na kuchoka kufanya kazi Halmashauri.
Nina imani utagundua kuwa kufanya kazi Halmashauri ni bora kuliko kukaa bila kazi.
Kwa hiyo usichoke maana wapo wengi wanaimezea mate hiyo nafasi yako
Huna connection yoyote?Mchakato niliuanza muda kwel tangu mwaka WA fedha 2018/19. Nikajibw endapo nafasi ikitokea ntajulishwa. 2019/20 nikaomba tena na 2020/21 nikaomba tena ndio SA hv mwanga umepatikana. . Niliandika barua ya kuomba kuhamia nikapitisha MWA mwajiri wangu nikapeleka kote. Nilijibiwa hakuna nafasi Niliandika karb mara tatu. Ni kujaribu na kutokata tamaa
Uliomba uamisho?Sijaipata Ila naulizia nifahamu mana nimepata option ya kuhamia ya taasis mbili za serikl mojawapo hio ndio natk nilinganishe ili nijue niende wap kat ya nhif au Hy taasis
Braza....Nenda kafanye kazi katumikie utumishi wa umma. Usipende sana kuweka maslahi ya pesa mbele ktk utumishi wa umma
nenda Pssf ndio pazuri na mishahara mizuri.NHIF au Psssf?
Sawa mkuu, kikubwa tuwe na tahadhari tunavyotani vya juu ili tusije vipoteza vile vya chini.Binadamu mwenye mafanikio ni yule aliyetamani vya juu yake na binadamu mwenye MAFANIKIO ZAIDI ni yule aliyetamani ZAIDI VYA JUU YAKE ZAIDI.
Kama umesoma ECONOMICS tafuta, soma na ielewe THE LAW OF UTILITY AND SATISFACTION.
simply...
The UTILITY IS NOT MARGINAL.
Kifupi mtu hutamani zaidi akipata cha zaidi na huendelea kutamani zaidi na zaidi.
Unajua kwanini?
Sababu:- in a rational way human are always mean.
#YNWA
Oa kwanza ndiyo tukuhamisheUmewezaje kupata transfer?
Mimi mwenzio nimechoka kufanya Kazi halmashauri, Nahitaji kuhama hata leo.
Tupeane CONNECTION basi.
#YNWA
Hoya kama una connection NIPE MSAADA basi man.Oa kwanza ndiyo tukuhamishe
Upo wapHoya kama una connection NIPE MSAADA basi man.
Hata pesa nitatoa ukifanikisha.
Japo naongoza kitengo cha Halmashauri ila NIMECHOKA KUFANYA KAZI HALMASHAURI BALAA.
Sitaki halmashauri yoyote, nahitaji kuhama kabisaa niondoke TAMISEMI.
#YNWA