Hahahaha
King'ast heshima yako bibie! Gari mpya ina raha yake bwana, mara kufanyiwa service, guarantee etc ndio mana nimeuliza sio kesi. Ila ka ni brand new napongeza 100% kajitahidi sana ingawa sio fair kuendesha gari hilo nchin ambayo hata maji safi ni ishu.
Ningekuwa raisi mm ni udikteta tu wananchi waishi rational na sio tajiriiiiiii na maskiniiiiii