Na wewe unasumbuliwa ugonjwa wa kuamini na jina kwa historia yake bila kuwa na uhakika wa unalosema. Umeijua Land Cruiser kwa siku nyingi sana tangu Marehemu Lowasa alipopitisha mpango wa kuwa yawe magari ya viongozi wa serikali na wabunge zaidi ya miaka 30 iliyopita umebaki kuamini kuwa Land Cruiser ndiyo kila kitu.Mkuu acha kabisa kuivunjia Heshima Toyota Land Cruiser linapokuja swala la reliability
Ungeweza kabisa kuisifia hiyo jeep bila kujaribu kuiponda Toyota LC
Toyota LC wanauzia jina?
Hivyo vyeti vyako vya veta visikudanganye mkuu
Huwezi kufananisha Velar na hayo mabati ya kijapan,aachane kabisa na hiyo Prado,Velar ni habari nyingine kabisa kama ana pesa ya kutosha kununua vipuri inapohitajika...Habari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe.
Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili.
1. Range Rover Velar
2. Toyota Land Cruiser TX
Kuhusu spare parts sijui mafuta sio shida kwake.
Ila sio mpenzi wa kukaa na gari muda mrefu, je akitaka kuja kuuza Velar ili abadilishe itauzika?
Kwa Wazoefu wa Magari mnamshauri achukue ipi?
View attachment 3073586View attachment 3073587
TXHabari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe.
Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili.
1. Range Rover Velar
2. Toyota Land Cruiser TX
Kuhusu spare parts sijui mafuta sio shida kwake.
Ila sio mpenzi wa kukaa na gari muda mrefu, je akitaka kuja kuuza Velar ili abadilishe itauzika?
Kwa Wazoefu wa Magari mnamshauri achukue ipi?
View attachment 3073586View attachment 3073587
Ukitaka kumalizana na waswahili kwa haraka wewe nenda na data. Wengine humu mawazo yetu yanaendana na uchumi wetu mfukoni.Na wewe unasumbuliwa ugonjwa wa kuamini na jina kwa historia yake bila kuwa na uhakika wa unalosema. Umeijua Land Cruiser kwa siku nyingi sana tangu Marehemu Lowasa alipopitisha mpango wa kuwa yawe magari ya viongozi wa serikali na wabunge zaidi ya miaka 30 iliyopita unadhani kuwa basi umebaki kuamini kuwa Land Cruiser ndiyo kila kitu.
Basi kuanzia leo elewa kuwa kuwa Jeep Grande Cherokee Limited L ya mwaka 2024 ni zaidi ya Land Cruiser. Elewa pia Jeep inapatikana katika model nyingi sana kama vile Cherokee, Grand Cherokee Laredo, Compass, Renegade, Liberty, Wrangler,. Gladiator, Meridian, Commander na kadhalika. Linaloongelewa hapa ni Jeep Grand Cherokee Limited L sIyo Jeep ya aina yoyote.
Kama unadhani leseni yangu ni ya vet, bado kuna independent evaluation niliyoweka hapo huko nyuma sijui pioa utaikataa kuwa ni ya veta. Nitaikopi tena hapa kwa faid yako na ya wasomaji wako. jeep hiyo inapata score ya 8.9 wakati Land Cruiser ina score ya 8.7 tu. Kuna sababu kadhaa za kiufundi zinazoifanya jeep iipiku Lkand Cruiser; mimi nimezungumzia uwepo wa parts za plastic nyingi kwenye land Cruiser ukilinganisha na Jeep. Kama una ujuzi mwingi zaidi ya cheti cha VETA, sema tuongee technical comparison kati ya hayo magari mawili kwa vile mimi nilishayafungua yote na nayajua vizuri sana
Narudia tena kwa herufi kubwaNa wewe unasumbuliwa ugonjwa wa kuamini na jina kwa historia yake bila kuwa na uhakika wa unalosema. Umeijua Land Cruiser kwa siku nyingi sana tangu Marehemu Lowasa alipopitisha mpango wa kuwa yawe magari ya viongozi wa serikali na wabunge zaidi ya miaka 30 iliyopita unadhani kuwa basi umebaki kuamini kuwa Land Cruiser ndiyo kila kitu.
Basi kuanzia leo elewa kuwa kuwa Jeep Grande Cherokee Limited L ya mwaka 2024 ni zaidi ya Land Cruiser. Elewa pia Jeep inapatikana katika model nyingi sana kama vile Cherokee, Grand Cherokee Laredo, Compass, Renegade, Liberty, Wrangler,. Gladiator, Meridian, Commander na kadhalika. Linaloongelewa hapa ni Jeep Grand Cherokee Limited L sIyo Jeep ya aina yoyote.
Kama unadhani leseni yangu ni ya vet, bado kuna independent evaluation niliyoweka hapo huko nyuma sijui pioa utaikataa kuwa ni ya veta. Nitaikopi tena hapa kwa faid yako na ya wasomaji wako. jeep hiyo inapata score ya 8.9 wakati Land Cruiser ina score ya 8.7 tu. Kuna sababu kadhaa za kiufundi zinazoifanya jeep iipiku Lkand Cruiser; mimi nimezungumzia uwepo wa parts za plastic nyingi kwenye land Cruiser ukilinganisha na Jeep. Kama una ujuzi mwingi zaidi ya cheti cha VETA, sema tuongee technical comparison kati ya hayo magari mawili kwa vile mimi nilishayafungua yote na nayajua vizuri sana
Narudia tena kwa herufi kubwa
UNAWEZA KUISIFIA GARI YOYOTE ILE BILA KUIPONDA TLC KWENYE SWALA LA RELIABILITY
Mkuu BRAND ya kitu kwenye dunia ya leo italindwa na ku survive kwa UBORA WAKE TU na sio jina
TLC sio Tz tu....
Usidhani simu za Iphone au Samsung ziko pale kwa bahati mbaya
Usidhani Pc za Mac Samsung Dell and the co zipo pale bahati mbaya
Kuna magari mengi BORA sana kuliko TLC
Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba TLC ni moja ya magari bora kabisa duniani
Ubora wa gari hautokani na wingi wa vyuma au plastic........ magari ya zamani yalikua vyuma vitupu lakini hayawezi kuwa bora kama ya sasa yenye kila aina ya materials
Hivi iphone aki score reviews high kuliko Samsung ndio itafanya Samsung ni simu mbovu au vise versa?
Unaposhindanisha vitu BORA lazima uta chagua kimoja lakini haiondoi ukweli kwamba vyote ni bora
Sipo hapa kusema Jeep ni gari mbovu au kusema TLC ni gari bora kuliko zote
Nipo hapa kukukosoa unaposema TLC hamna kitu bali anauzia jina tu
Hii chuma kali aisee.RR is above next level
Mabati ,🤣🤣🤣Huwezi kufananisha Velar na hayo mabati ya kijapan,aachane kabisa na hiyo Prado,Velar ni habari nyingine kabisa kama ana pesa ya kutosha kununua vipuri inapohitajika...
Mkuu mimi sio mtaalam wa magari, na kwa ubush lawyer wangu Ninachojua kuhusu RELIABILITY na DURABILITY ya Toyota Land Cruiser ni hikiUnachoonekana kulewa hapa ni brand name tu, lakini huna technical facts za kutetea hoja yako.
Kwa mfano, je unatumia metric gani wewe kupima reliability Toyota Land Cruiser kama siyo imani yako ya siku nyingu tu.
Nimependa argument yako hapa nadhani kila mtu a aki na anacho kiamini,maana kwa hoja zako ni kweli toyota LC ni namba 1,ingekuwa famba isingetamba kwenye maeneo hayo😀😀😀 overMkuu mimi sio mtaalam wa magari, na kwa ubush lawyer wangu Ninachojua kuhusu RELIABILITY na DURABILITY ya Toyota Land Cruiser ni hiki
Pamoja na kuwa ni mojawapo ya gari zenye bei kubwa za Jamii yake
Toyota Land cruise ndio gari pekee ambayo ni Official government cars kwenye nchi nyingi zaidi ikiwemo Tz
Toyota Land Cruiser na Hilux ndio gari pekee za kiraia zinazo tumika zaidi vitani
Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi na UN na Organization zake zote kwenye mission zake zote duniani kwenye maeneo yenye miundombinu korofi.
Ikiwemo EU, Ngo’s nk
Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi kwenye site za machimbo mbali mbali ya madini duniani kuliko gari yoyote ile
Toyota Land Cruiser ndio gari chaguo namba moja kwenye karibia maeneo yote korofi kimiundo mbinu kama Africa, Asia, Middle east, Amerika kusini, Australia nk
Toyota Land Cruiser licha ya bei zake ndiyo gari imeuza units nyingi zaidi duniani kuliko magari yote ya jamii yake
The list is endless.......
Hayo yote hayajatokea kwa sababu ya jina tu mkuu.
Strength namba moja ya Toyota Land Cruiser ni RELIABILITY na DURABILITY......
Sasa mkuu kama wewe kwa vyeti vyako unaona TLC ni gari inayo uzia jina tu basi ntalazimika kuheshimu mawazo yako pia
Hoja yangu ni kutokubaliana na wewe kwamba eti TLC inauzia Brand na sio ubora
Unaweza kuisifia gari yoyote ile bila kujaribu kuponda credibility ya TLC
Umeua mkuuMkuu mimi sio mtaalam wa magari, na kwa ubush lawyer wangu Ninachojua kuhusu RELIABILITY na DURABILITY ya Toyota Land Cruiser ni hiki
Pamoja na kuwa ni mojawapo ya gari zenye bei kubwa za Jamii yake
Toyota Land cruise ndio gari pekee ambayo ni Official government cars kwenye nchi nyingi zaidi ikiwemo Tz
Toyota Land Cruiser na Hilux ndio gari pekee za kiraia zinazo tumika zaidi vitani
Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi na UN na Organization zake zote kwenye mission zake zote duniani kwenye maeneo yenye miundombinu korofi.
Ikiwemo EU, Ngo’s nk
Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi kwenye site za machimbo mbali mbali ya madini duniani kuliko gari yoyote ile
Toyota Land Cruiser ndio gari chaguo namba moja kwenye karibia maeneo yote korofi kimiundo mbinu kama Africa, Asia, Middle east, Amerika kusini, Australia nk
Toyota Land Cruiser licha ya bei zake ndiyo gari imeuza units nyingi zaidi duniani kuliko magari yote ya jamii yake
The list is endless.......
Hayo yote hayajatokea kwa sababu ya jina tu mkuu.
Strength namba moja ya Toyota Land Cruiser ni RELIABILITY na DURABILITY......
Sasa mkuu kama wewe kwa vyeti vyako unaona TLC ni gari inayo uzia jina tu basi ntalazimika kuheshimu mawazo yako pia
Hoja yangu ni kutokubaliana na wewe kwamba eti TLC inauzia Brand na sio ubora
Unaweza kuisifia gari yoyote ile bila kujaribu kuponda credibility ya TLC
Mkuu umetumia silaha nzito sana kwa vita ndogo😀Mkuu mimi sio mtaalam wa magari, na kwa ubush lawyer wangu Ninachojua kuhusu RELIABILITY na DURABILITY ya Toyota Land Cruiser ni hiki
Pamoja na kuwa ni mojawapo ya gari zenye bei kubwa za Jamii yake
Toyota Land cruise ndio gari pekee ambayo ni Official government cars kwenye nchi nyingi zaidi ikiwemo Tz
Toyota Land Cruiser na Hilux ndio gari pekee za kiraia zinazo tumika zaidi vitani
Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi na UN na Organization zake zote kwenye mission zake zote duniani kwenye maeneo yenye miundombinu korofi.
Ikiwemo EU, Ngo’s nk
Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi kwenye site za machimbo mbali mbali ya madini duniani kuliko gari yoyote ile
Toyota Land Cruiser ndio gari chaguo namba moja kwenye karibia maeneo yote korofi kimiundo mbinu kama Africa, Asia, Middle east, Amerika kusini, Australia nk
Toyota Land Cruiser licha ya bei zake ndiyo gari imeuza units nyingi zaidi duniani kuliko magari yote ya jamii yake
The list is endless.......
Hayo yote hayajatokea kwa sababu ya jina tu mkuu.
Strength namba moja ya Toyota Land Cruiser ni RELIABILITY na DURABILITY......
Sasa mkuu kama wewe kwa vyeti vyako unaona TLC ni gari inayo uzia jina tu basi ntalazimika kuheshimu mawazo yako pia
Hoja yangu ni kutokubaliana na wewe kwamba eti TLC inauzia Brand na sio ubora
Unaweza kuisifia gari yoyote ile bila kujaribu kuponda credibility ya TLC
Inawezekana wote mna hoja za msingi isipokuwa mnatofautiana kwenye mlengo wa hoja zenu kwa jinsi mnavyolitazama jambo.........Mkuu mimi sio mtaalam wa magari, na kwa ubush lawyer wangu Ninachojua kuhusu RELIABILITY na DURABILITY ya Toyota Land Cruiser ni hiki
Pamoja na kuwa ni mojawapo ya gari zenye bei kubwa za Jamii yake
Toyota Land cruise ndio gari pekee ambayo ni Official government cars kwenye nchi nyingi zaidi ikiwemo Tz
Toyota Land Cruiser na Hilux ndio gari pekee za kiraia zinazo tumika zaidi vitani
Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi na UN na Organization zake zote kwenye mission zake zote duniani kwenye maeneo yenye miundombinu korofi.
Ikiwemo EU, Ngo’s nk
Toyota Land Cruiser ndio gari inayotumika zaidi kwenye site za machimbo mbali mbali ya madini duniani kuliko gari yoyote ile
Toyota Land Cruiser ndio gari chaguo namba moja kwenye karibia maeneo yote korofi kimiundo mbinu kama Africa, Asia, Middle east, Amerika kusini, Australia nk
Toyota Land Cruiser licha ya bei zake ndiyo gari imeuza units nyingi zaidi duniani kuliko magari yote ya jamii yake
The list is endless.......
Hayo yote hayajatokea kwa sababu ya jina tu mkuu.
Strength namba moja ya Toyota Land Cruiser ni RELIABILITY na DURABILITY......
Sasa mkuu kama wewe kwa vyeti vyako unaona TLC ni gari inayo uzia jina tu basi ntalazimika kuheshimu mawazo yako pia
Hoja yangu ni kutokubaliana na wewe kwamba eti TLC inauzia Brand na sio ubora
Unaweza kuisifia gari yoyote ile bila kujaribu kuponda credibility ya TLC
Ninaelewa arguments zako za uzoefu, ila kuna mambo ambayo pia hujaweka kuweza kusema kwa nini Toyota Land Cruiser zinatumika sana kama official cars katika nchi za kiafrika (siyo nchi nyingi duniani bali ni Afrika tu); siyo reliabiliy kwani hakuna metric iliyotumiwa kwa mfano na serikali ya Tanzania kuachana na Landrover pamoja na Nissan Patrol ambazo zilikuwa na technicial features zinazolingana na pia bei ikiwa ya chini, bali wakachukua Land Cruiser ambayo bei yake ilikuwa ya juu; marehemu Lowassa angekuwapo, angetuambia hilo.Mkuu mimi sio mtaalam wa magari, na kwa ubush lawyer wangu Ninachojua kuhusu RELIABILITY na DURABILITY ya Toyota Land Cruiser ni hiki