Gari hatari sana hizo....Mercedes-Benz -ndio yenewe
Cadillac escalade.....2016
Chevrolet Tahoe.....2017
Mercedes benz G - class
https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/4659d1a07a315d
e2b76b9b09b09e9bbe.jpg
Siku zote unashauriwa kutumia gari ambalo usukani upo kushoto
inafaa kwa mtu anaetumia mkono wa kushoto, kama mimi...
ukiwa na Gari hii huwezi kufa ukifa huwezi oza ukioza harufu yako itakua ya parfume
Hii ni nyoko mkuu