Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,308
- 4,207
Tafiti niliyofanya kwa muda nimebaini gari la Muingereza kutoka kampuni ya Lend Rover, Range Rover ikizeeka huwa inakonda.
Angalia tu sasa hivi Range zilizotamba kwaanzia miaka ya katikati 95 hadi 2010 yani zimekonda balaa hadi hazitamaniki.
Hata Range za 2015 nazo zimekonda utadhani zina utapiamlo.
Hata hizi Range za 2024-26 ambazo ndo latest na zina tamba sokoni ikifika 2040s hazitamaniki zitakonda balaa.
Senior JF Mechanical engineer and automotive expert.
Kembrij university
Masters
adriz de mbusii