Ranchoddas Shamaldas Chanchad

Virus: raju let's have a cup of tea in my office
Virus: Mr. Raju Rastogi?
Raju: Present sir! oooh is everybody here!
.......
.......

Rancho: Induction motor sir
Virus: Mr Raju Rastog
Raju: Yes sir
Virus: can u tell us how induction motor starts?
Raju: mbriiii mbriii mbriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Virus: stop
Raju: mbriiii mbriiii




ni noma
 
You have made my day mkuu!
Ile sura kama anataka kulia, kama anataka kucheka!
Ila nadhani ilikuwa ni lengo la director kumtumia mtu mwenye sura ile kuonyesha mtu anayepitia maisha kama ya Raju Rastogi anakuwaje, maana he was under constant pressure throughout the movie - from his demanding mother, unwed sister, sick dad, Virus, how to keep up with his less pressured friends etc. The dude's life was really messed up!
Unakumbuka alivyyoitwa ofisini kwa Virus kwa kosa la kuvamia harusi?!?

Ahahahhahh
Wakati wa kuomba msamhaa alidiriki kusema hatoudhuria harusi yoyote mpaka harusi yake atakua absent

Ahahhahahajah RHAJU RASTHOGIII (In Virus' voice)
 
Kuna yule Silencer...... Ni hatari kwa mazingira,mchafuzi wa hali ya hewa
Yule mshenzi anakwambia kanuni ya kuwa wa kwanza drasani ni either usome saaana Ku upgrade maksi zako au ufanye kitu cha kupunguza maksi za wenzio , mshenzi ikifika kipindi cha mitihani anatembeza porno magazines kwa every room mmamamameeeeee
 
Jamani kuna ile moja ya kihindi kama comedy ina jamaa watatu walikuwa wakitafuta fedha/ hazina iliyofichwa waliambiwa na mzee mmoja tajiri alikufa na ajali. Tafadhalini naipenda balaa siijui jina lake.
 
One of the Best films hasa kwa Wanafunzi na waalimu...!! Wazazii pia wanaopenda kutaka watoto zao wasome vitu wasivyowezaa... Marafiki wa kuwa naoo.. Rancho smart sana aisee duuh...Mpaka virus alinyoosha Mikonooo
Virus anatoa Pen huku Amalia ahahahahha

Wale wajinga walimkomesha, wamevamia harusi ya mwanae, wakaiba pepa, all in all wakamzailisha mwanae DUH
 
Virus anatoa Pen huku Amalia ahahahahha

Wale wajinga walimkomesha, wamevamia harusi ya mwanae, wakaiba pepa, all in all wakamzailisha mwanae DUH
Yanii balaa sana... Sema mwanafunzi mwenye akili ukikuta ni Bad boy aisee unaweza mind lakini daah mwisho wa siku unakubali tuu..!! Sawa na wewe ukiwa na akili home kidogo unapotezewa hata ukifanya ujinga
 
Virus anatoa Pen huku Amalia ahahahahha

Wale wajinga walimkomesha, wamevamia harusi ya mwanae, wakaiba pepa, all in all wakamzailisha mwanae DUH
Nilicheka siku hiyo yamechelewa pepa wanaambiwa muda umeisha wanaendelea wamemaliza anauliza Sir, do you know us? Do you know our names sasa mwenyewe msimamiaji hawaelewi anasema who are you? Minister's son? Even so I won't take your paper. Akachukua na karatasi za wenzie akavuruga na nyingine af ndukii..invigilator kabaki anatoa macho
 
Nilicheka siku hiyo yamechelewa pepa wanaambiwa muda umeisha wanaendelea wamemaliza anauliza Sir, do you know us? Do you know our names sasa mwenyewe msimamiaji hawaelewi anasema who are you? Minister's son? Even so I won't take you paper. Akachukua na karatasi za wenzie akavuruga na nyingine af ndukii..invigilator kabaki anatoa macho
Silencer alimwambia Sirrrr they're still writing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom