Malyenge nimeona uzi wako baada ya kubandika wangu, moderator waunganishe.. Hizi term aisee zinakera kupiga RAMLI tu ni uchonganishi tosha. Watanzania tuachane na mambo ya Waganga tufanye kazi kwa bidii. Nilipata Aibu nilikwendaga South Africa/ Joburg pale IMMIGRATION nawe ni MGANGA WA KIENYEJI toka TZ maana ndo wamejaa South Africa.