livewise1 JF-Expert Member Joined May 25, 2019 Posts 837 Reaction score 968 Jun 3, 2019 #1 "Unafungiwa nyama kwenye Gazeti, unafika nyumbani unashindwa kuchambua nyama na gazeti...unajikuta unakula Ugali na Habari za kimataifa"
"Unafungiwa nyama kwenye Gazeti, unafika nyumbani unashindwa kuchambua nyama na gazeti...unajikuta unakula Ugali na Habari za kimataifa"
scalethat JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 1,063 Reaction score 1,905 Jun 3, 2019 #2 Hahahahaaa cjui watu huwa mnawazaga nini
kelao JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 8,132 Reaction score 5,807 Jun 3, 2019 #3 JF juu zaidi
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,781 Reaction score 11,018 Jun 3, 2019 #4 livewise1 said: ..unajikuta unakula Ugali na Habari za kimataifa" Click to expand...
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 6,115 Reaction score 6,827 Jun 3, 2019 #5 mbaya zaidi ukute kuna pic ya jiwe hapo ndio utajua uchungu wa nyama yenyewe
Mkuu wa Kibiti JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 776 Reaction score 1,137 Jun 3, 2019 #6 Kwa hiyo mnakula ugali kwa news maendeleo hayo tena hayana chama
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,883 Reaction score 13,621 Jul 22, 2019 #9 livewise1 said: "Unafungiwa nyama kwenye Gazeti, unafika nyumbani unashindwa kuchambua nyama na gazeti...unajikuta unakula Ugali na Habari za kimataifa" Click to expand... Unajikuta unakula ugali na habar mbaya za ccm!
livewise1 said: "Unafungiwa nyama kwenye Gazeti, unafika nyumbani unashindwa kuchambua nyama na gazeti...unajikuta unakula Ugali na Habari za kimataifa" Click to expand... Unajikuta unakula ugali na habar mbaya za ccm!
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,350 Reaction score 13,877 Jul 24, 2019 #10 Au unakula nyama imenasia picha ya amber ruty
Salhat Senior Member Joined Oct 14, 2018 Posts 182 Reaction score 417 Dec 6, 2019 #11 livewise1 said: "Unafungiwa nyama kwenye Gazeti, unafika nyumbani unashindwa kuchambua nyama na gazeti...unajikuta unakula Ugali na Habari za kimataifa" Click to expand...
livewise1 said: "Unafungiwa nyama kwenye Gazeti, unafika nyumbani unashindwa kuchambua nyama na gazeti...unajikuta unakula Ugali na Habari za kimataifa" Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,197 Reaction score 184,913 Dec 8, 2019 #13 Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: mahondaw