Rambirambi ya wahanga wa meli

Rambirambi ya wahanga wa meli

Joined
Feb 17, 2012
Posts
26
Reaction score
1
Msiba mkubwa wa taifa letu, hawa wameacha wajane na yatima, je formular gani inatumika katika serikari kutoa rambirambi maana tumeshuhudia mamilioni yakitolewa kama rambirambi rasmi, utaratibu ni ipi mpaka sasa
 
Si nasikia huwa wanakataa baadhi ya rambirambi?!, labda rambirambi ya JF wataikubali!!!!
 
T.B joshua watamkubali tu leo ingawa wanampinga sana na kumwita KAFIR.... Majukwaani. Ingawa rambi rambi zake wanachukua

UAMSHO ITASISITZA WAKATAE RAMBI RAMBI ZA TANGANYIKA. Walivyo na akili nyuma nyuma
 
Back
Top Bottom