wapendwa,
poleni sana na msiba mkubwa wa mh. Regia. siku niliyofunga ndoa ndiyo siku aliyofariki na nilipata habari nikiwa salon nikiandaliwa kwa ajili ya harusi yangu, niliumia, lakini sikuwa na la kufanya.
tumuombe raha ya milele mpendwa wetu.
kwa leo natoa pole tu, Mungu akipeenda tutakuwa tena pamoja hapa jamvini very soon.
RIP Regia,
mbarikiwe sana wapendwa
Glory to God!