Ramani za nyumba

Ramani za nyumba

KIWONDEF

Member
Joined
May 13, 2013
Posts
59
Reaction score
23
Tunachora ramani za nyumba za aina tofauti tofauti(primaryarchitectural services),pia tunadesign ndani ya nyumba ambazo zilisha jengwatayari,maduka,migahawa,vibanda vya simu n.k(hii ni kwa upande wa interiordesign) na tunafanya landscape design,hii ni kwa upande wa nje wa jengo,mamboya garden design.
kwa mawasiliano zaidi
0713450840
francofmwakiwonde@gmail.com

TUJENGE PAMOJA
 
Attachments

  • one.jpg
    one.jpg
    988.5 KB · Views: 304
  • two (2).jpg
    two (2).jpg
    963.6 KB · Views: 267
Je kima cha mchoro cha chini ni TZS kwa mfano nikitaka mchoro uwe kwenye 3D kama hizo nyumba kwenye picha mlizoweka
 
kwa 2bedroom na 3 bd mnachora kwa sh ngapi?
 
tuchekiane kwenye email au phone,au ni pm ili tuelekezane vizuri kwasababu kuna mambo mengi yana athili bei ya ramani ikiwemo hali ya kiwanja na mahitaji ya mchorewaji
 
tuchekiane kwenye email au phone,au ni pm ili tuelekezane vizuri kwasababu kuna mambo mengi yana athili bei ya ramani ikiwemo hali ya kiwanja na mahitaji ya mchorewaji
Pamoja na yote sema unaanzia kiasi gani kwa ramani ya kawaida,usigope tuthamanishe kwanza
 
Tunachora ramani za nyumba za aina tofauti tofauti(primaryarchitectural services),pia tunadesign ndani ya nyumba ambazo zilisha jengwatayari,maduka,migahawa,vibanda vya simu n.k(hii ni kwa upande wa interiordesign) na tunafanya landscape design,hii ni kwa upande wa nje wa jengo,mamboya garden design.
kwa mawasiliano zaidi
0713450840
francofmwakiwonde@gmail.com

TUJENGE PAMOJA

Mpo wapi, Mza, Dar au?
 
Back
Top Bottom