Muwe mnaweka tu gharama wazi Kwan ivi vitu sio vya Siri
Na ndiyo Maana nchi yetu makazi ya holela ni mengi yaan wasanifu majengo na maafisa ardhi na mainjinia mna mchango mkubwa ktk ukuaji wa makazi holela
Mjitafakari, at zaman watu wa Sheria walikuwa Wana fanya huduma ya Sheria Kama kitu ghaliiii Sanaa lkn as we speaking now wanasheria wametoka kule city center na maofisi yao yapo mpaka gomc , mbagala, stendi za mabasi wamejaa kibaooooo na huduma Zina kwenda safii tu