Ramani za nyumba na huduma za ujenzi

Ramani za nyumba na huduma za ujenzi

GANGSTIZO

Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
44
Reaction score
7
KABYEX ENGINEERING AND BUILDING PLANNERS

Tunatoa huduma za ujenzi kwa gharama nafuu kabisa

1..Ramani za nyumba

  • Ghorofa -------- 350000
  • Nyumba ya kawaida ------- 200000
2..Ujenzi wa nyumba

Gharama maelewano
3.. Pia
--tunaweka marumaru
---Kupaka rangi

---- tunaweka na kubuni mifumo ya maji taka na safi….

KARIBU…

“PAMOJA TUJENGE NDOTO ZAKO”
WASILIANA NASI KUPITIA
e-mail – gkabyex@gmail.com
mobile- 0712006246

Kwa mikoani nafanya kazi pia kama mteja utaitaji tukioe kiwanja kabla ya kukihora gharama za nauli ni juu yako au unaweza tutumia vipimo vya viwanja then tukafanya kazi.
 
tovuti tunaifanyia kazi sio muda mrefu itakuwa tayari na nitaiweka hewani ila kwa sasa unaweza tumia e-mail address yangu utapata chochote utakachoitaji kuona ikiwemo nyumba nilizodesign na kujenga,..karibu sana usiogope tumefanya kazi na watu wengi wengine wa nje na wametujulia hapa hapa jamii forum.
 
Nimeku email mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom