Haya tena wanaujenzi wenzangu leo nimewasogezea ideas na sample ya kazi zangu nazofanya kama ukinipa like na comment ntafarijika pia kama ukinitumia email au ukinipa kazi ya kukuchorea au kukushauri juu ya ramani na ujenzi ni vyema pia.
Kazi nzuri sana mkuu. Big up sana. Ila nashauri labda ungekuwa unaweka idea zako kitz zaidi kuliko kimamtoni cuz mtu anaweza hisi labda umecopy kwenye mitandao
Kazi nzuri sana mkuu. Big up sana. Ila nashauri labda ungekuwa unaweka idea zako kitz zaidi kuliko kimamtoni cuz mtu anaweza hisi labda umecopy kwenye mitandao