Ramani ya vyumba 3 vya kulala

Ramani ya vyumba 3 vya kulala

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
604
Reaction score
1,236
Raman ya vyumba 3 vya kulala
Ina vitu vifuatavyo
Chumba 1 master
Chumba 1 hakina choo
Chumba 1 hakina choo
Seble
Dinning
Jiko
Store
Public toilet
Inachukua mita 13 kwa mita 12
Sasa njoo whatsapp 0743 257 669 ili nikupe raman hii kwa bei simple sawa na bure raman imekamilika kila idara ina hadhi ya kifalme
Angalia ramani zingine hapa wa.me//255743257669

Haya mengine ya kukushauri

Sasa kwanini Ujenge bila kuwa na raman ya kisasa?
Nitakupa ramani zifuatazo
Floor plan
Foundation plan
Roof plan
Section
Septic tank and soak way pit
Elevations
Na 3d zoote yaani hizo picha
Raman zote zimekamilika karibu ujenge kwa raman usijenge bila raman ya nyumba
Kama hujaanza ujenzi hasa wa nyumba yako ya kwanza ya kuishi jitahidi sana upate elimu ya kutosha kwenye
Ununuzi wa ardhi/kiwanja
Mafundi wa kila idara
Makisio ya vifaa, ufundi
Muda sahihi wa kuanza ujenzi
Nini cha kuanza kufanya nknk
Fanya utafiti wa kutosha.. Pata makisio ya ujenzi kwa kila hatua kwa mafundi tofauti
Ukiachana na changamoto za kuongezewa gharama kwenye vifaa na gharama za ufundi ama kuibiwa kwa vifaa vilivyokwisha nunuliwa kuna hili la kuharibiwa kazi
Na kazi iliyoharibiwa ina changamoto kubwa zaidi za kurekebisha kuliko kazi mpya
Kuna mengi sana ya kuambiana hapa lakini machache makubwa ni haya
1. Usifanye malipo ya ardhi/kiwanja bila kujihakikishia umiliki wake, migogoro, mipaka nk
2. Usifanye malipo bila kujihakikishia serikalini ramani ya mipango miji
3. Usianze ujenzi bila kufanya ibada ya kutakasa ardhi.. Ukishindwa hapo basi ibada ya kuitakasa nyumba
4. Usianze ujenzi bila kujihakikishia sehemu salama ya kuweka vifaa vyote vitakavyohusika kwenye ujenzi
5. Usianze ujenzi kwa kufanya mkupuo wa manunuzi.. Anza na vitakavyohitajika kwa wakati huo tu.. Na kama kina baadhi utavipata mapema kwa bei nzuri kaa navyo mwenyewe
6. Piga kenchi ukiwa umejihakikishia uwepo wa mabati
7. Usifanye wiring kama hakuna mtu anayekaa hapo.. Utajuta
8. Usiiache nyumba tupu/peke yake unapoelekea kumaliza ujenzi wa awali
9. Kumbuka gharama za finishing ndio kaburi la pesa😂 hivyo ji
IMG-20250426-WA0013(1).jpg
IMG-20250426-WA0012(1).jpg
andae
10. Jihadhari na majirani...😀🤔🙇🏿‍♂
 
9. Kumbuka gharama za finishing ndio kaburi la pesa😂 hivyo jiView attachment 3315916View attachment 3315917andae
10. Jihadhari na majirani...😀🤔🙇🏿‍♂
Huu million 30 nahamia? Au ndio kwanza naishia kwenye boma tuu
 
Back
Top Bottom