Ramani ya nyumba

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
Wadau nahitaji ramani ya nyumba ya vyumba 3 kwa kiwanja cha 70/50, Msaada kwa anayefahamu kwa kuipata, au mwenye ramani ya kawaida ya 3bedroom house anitumie. Natanguliza shukrani
 
Mimi nakushauri uende ofisi ya manispaa yeyote, uliza wachoraji wa ramani hapo utapata ramani nzuri iliyo na standard nzuri.
 
google .. tumia keywords kama vile 3 bedroom appartment etc. utapata choices kibao
 
ingia kwenye email yangu zen ni inbox afu tuongee biashara kikubwa architecture is my professional from ardhi university dar.ila jipange kuongea biashara
 
ila kwa ushauri wa bure usiumie michoro ya google,na hata ukiupata mchoro unaotaka bado utahitaji umtafute architect for more modification zaidi utapoteza hela site na kuona bora ungemlipa hata hiyo laki 5 -6 huyo architect.if u dont mind mtafute huyu 0653312954
 
Kujenga kutumia foreign plans bongo inaweza kuwa difficult kidogo. Dar and bongo as a whole ina ma architect kibao - kuna mmoja yupo pale off of Lumumba jengo next to Durban hotel, unaingia kama kwa ndani hivi (actually ni sehemu ya kupaki gari) na unakuta ofisi yake na yeye ana ramani zake amedesign ametoa vitabu vitatu @15,000/-. You look at the ramani, unachagua unayoipenda na unanua structural/electrical etc plans na unaweza ukafanya naye modifications etc. A good place to begin.....also you are supporting a local entrepreneur, a good thing!

Sorry, nimesahau jina lake
 
Jaribu kucheck hapa Plans & Prices | Home Designs | House Designs | Dixon Homes
Kujenga bongo uatakiwa kuwa creative, kama unajenga kwenye unsurveyed area huna haja ya kutafuta architect, angalia hizo plans then cheki jinsi gani unaweza kuboresha zikidhi mahitaji yako.
Ukitaka ushauri wa bure tutakupa hapa jukwaani.
Asante sana ndugu haya ndio mambo sasa nimeclick link hiyo naona mansion tu hamna site ya normal 3bedrooms houses?!. Asante sana ZeMarcopolo
 
Kujenga kutumia foreign plans bongo inaweza kuwa difficult kidogo. Dar and bongo as a whole ina ma architect kibao - kuna mmoja yupo pale off of Lumumba jengo next to Durban hotel, unaingia kama kwa ndani hivi (actually ni sehemu ya kupaki gari) na unakuta ofisi yake na yeye ana ramani zake amedesign ametoa vitabu vitatu @15,000/-. You look at the ramani, unachagua unayoipenda na unanua structural/electrical etc plans na unaweza ukafanya naye modifications etc. A good place to begin.....also you are supporting a local entrepreneur, a good thing!

Sorry, nimesahau jina lake
Sawasawa mdau,hili wazo NZURI SANA. naweza pata mawasiliano yake!. Thanks alot
 
ila kwa ushauri wa bure usiumie michoro ya google,na hata ukiupata mchoro unaotaka bado utahitaji umtafute architect for more modification zaidi utapoteza hela site na kuona bora ungemlipa hata hiyo laki 5 -6 huyo architect.if u dont mind mtafute huyu 0653312954
Ngoja ntampigia huyu jamaa nisikie gharama zake, Asante Amafumu
 
Kujenga kutumia foreign plans bongo inaweza kuwa difficult kidogo. Dar and bongo as a whole ina ma architect kibao - kuna mmoja yupo pale off of Lumumba jengo next to Durban hotel, unaingia kama kwa ndani hivi (actually ni sehemu ya kupaki gari) na unakuta ofisi yake na yeye ana ramani zake amedesign ametoa vitabu vitatu @15,000/-. You look at the ramani, unachagua unayoipenda na unanua structural/electrical etc plans na unaweza ukafanya naye modifications etc. A good place to begin.....also you are supporting a local entrepreneur, a good thing!

Sorry, nimesahau jina lake

WaTz mko very creative...si useme tu kuwa ni wewe upo kwenye publicity?
 
Umepata? Kama bado ni PM tufanye biashara na gharama zangu ni nafuu sana na wala hutojutia....
 
Asante sana ndugu haya ndio mambo sasa nimeclick link hiyo naona mansion tu hamna site ya normal 3bedrooms houses?!. Asante sana ZeMarcopolo

Za kawaida zipo kibao hapo kwenye hiyo site. Unachotakiwa kufanya ni kama ifuatavyo:
1. Fungua hii website House Plans | Home Designs | Home Plans | Dixon Homes
2. kwenye options zilizopo juu ya ukurasa changua PLANS & PRICES
3. Upande wa kushoto wa page itakayofunguka utaona sehemu imendikwa Qick select Location. Hapo unaselect state, region na location. For your case chagua state yoyote ile na region na location yoyote.
4. Ukishachagua, click kwenye Search hapo chini.
5. Katika ukurasa utakaofunguka, angalia upande wa kulia juu. Utaona sehemu imeandikwa Search Designs. Option ya kwanza kabisa ni design name, hiyo achana nayo. Then weka sifa za nyumba unayotaka.
6. Click search designs. Utaona ramani kibao.

Ukikwama mahali, feel free to enquire. Mimi napenda sana kujenga nyumba na katika harakati zangu hizo nimekutana na changamoto nyingi ambazo ningependa kusaidiwa, ndio maana naelewa position yako.
Kila la heri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom