Ramani ya Dar: Sinza, Tandale, Mwananyamala

Kwa hiyo maji yameamua kurudi mahali pake. Wakazi wa hayo maeneo waliyavamia
 
Shida ya maji itakuwa imepungua kwa kiasi kikubwa sasa
 
Hahaha. Hiyo Ramani ya mwaka gani
Kumbe nyumbani kuna ziwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lake Magomeni

Hayo "Maziwa" hayapo tena hapa Dar, Hilo la Magomeni lilikuwa Pale Mwembechai kwenye Shule ya Karume, lilifukiwa na wale waliojenga ile Petro station pale

Hilo la Mwananyamala lilikuwa pale Mahakamani Kinondoni limepakana na Shule ya Msingi, nadhani nalo lilifukiwa na watu wakauziana viwanja

Hilo la Tandale ni kule kama unapakana na sinza, uwanja wa TP
 
ASANTE KUTUKUMBUSHA MKUU
 
Hahah ulikuwa dalali enzi izo nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…