Karibu ujenge nami, huo ndo uhalisia
investa.tz
sio vizuri kuhumu watu usio wajua, na mimi si mwanafunzi wa AutoCAD wa nyumbani kama unavyotaka kuwaaminisha watu bali mimi ni graduate engineer niliyesajiliwa na ERB kutoka chuo kikuu cha Ardhi mwenye uzoefu wa miaka 3 katika fani ya hii.
Pata ramani hii kwa shilling laki moja tu(100,000) contact 0758929087
Hizi ramani za wanafunzi wanaojifunza Auto CAD zinasumbua sana wakati wa ujenzi. Hasa kwenye vipimo, fundi anarekebisha sana makosa.
Nashauri mjenzi atafute mchoraji mzoefu wa ramani, ambaye ana practical experience za ujenzi wa nyumba. Si vyema kutumia hawa wanafunzi wa vyumbani ambao hata field hawaendi kutizama ukubwa wa mlango alio design ukoje.
Utapata ramani yenye mbwembwe nyingi lakini mwishowe inakuwa na makosa mengi sana ya kiufundi hasa kwenye vipimo.
Kumbuka ujenzi wa nyumba si wa majaribio.
Samahani SojoSojo; lengo si kukuharibia biashara yako bali ni kuwekana sawa kuepusha hasara.
Weka uzoefu wako hapa jamvini ukieleza wanunuzi watarajiwa mambo yafuatayo;
1)Umeifanya kazi hii kwa muda gani?
Elimu yako ikoje ?
2) Je kuna majengo yaliyosimama watu wanaweza kwenda kutizama na kuthibitisha kwamba ramani zako ndio zimetumika?
3)Je umesajiliwa na bodi yeyote kuifanya kazi hii?
4) Sifa nyingine yeyote ya ziada yenye kuweza kushawishi watu wakutumie wewe kwenye ramani na si mtu mwingine.
Pata ramani hii kwa shilling laki moja tu(100,000) contact 0758929087
hii ni business dude, and that is my price
investa.tz
sio vizuri kuhumu watu usio wajua, na mimi si mwanafunzi wa AutoCAD wa nyumbani kama unavyotaka kuwaaminisha watu bali mimi ni graduate engineer niliyesajiliwa na ERB kutoka chuo kikuu cha Ardhi mwenye uzoefu wa miaka 3 katika fani ya hii.
inaonekana we jamaa ni mkurupukaji mi nimesema mimi ni graduate engineer niliyekuwa Registared ERB nadhani unajua before kuwa registared engineer lazima uwe registared as graduate engineer pia Kuna Environmental Engineer Ardhi iko long time pale Ardhi before haijaja civil engineering ambayo sisi tumeiacha ndo inaanza.

Mkuu sina nia ya kukuharibia biashara yako. Nimeweka tahadhari tu kwa wanunuzi sababu mimi ni muhanga wa ramani za wanafunzi wanaojifunza kazi. Nia njema ya kusaidia kutoa ajira kwa vijana wetu graduates iliniponza na kuingia hasara kubwa;
1) Marekebisho yalikuwa mengi mno
2) Niliishia kujenga nyumba kubwa kuliko nilivyopanga, especially kulingana na size ya kiwanja.
3) Kutafuta ramani mpya kulingana na jengo
Kwa kadhia kama hizo hapo juu, ndio sababu nashauri watu watumie wachoraji wazoefu na wasiangalie gharama tu kwani itaweza kuwagharimu.
kwa ramani mpya bei ni maelewano kulingana na design unayoitaka