Ramani na idadi ya materials

becknature

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
619
764
Habari wakuu, nina taaluma kutengeneza hesabu na gharama za materials na idadi ya materials, mfano kutambua idadi ya matofali,mabati, misumari, mbao za roof structure na ceiling blandering/gypsum board, idadi ya zege (cement, sand/trip za mchanga and Aggregate/trip za kokoto), Idadi ya nondo, formwork/marine board/mabox, plastering(cement and sand), mortar(cement and sand), idadi ya ndoo za rangi, floor finishes(idadi ya tiles & mortar).
huu chini ni mfano wa schedule of materials.

Najua kwenye ujenzi, kutambua gharama na idadi ya materials ni muhimu sana, hivyo basi kwa mtu mwenye uhitaji wa kujenga au unajenga na ungependaa kutambua gharama ya ujenzi wa nyumba yako unaweza wasiliana nami, pia kama huna ramani naweza kukutengenezea ramani kutokana na mahitaji yako, nitakaundalia michoro yote Structural Pamoja na Architectural baada yahapo nitakuandalia schedule of materials na BoQ. Huduma utaipata kwa gharama nafuu.
Baadhi ya michoro ambayo nisha iandaa ni kama hii chini
2523419_ACCamera3P-007.jpg


2523429_POWER_005_-_IN_PROGRESS.jpg


2523511_SharedScreenshot_NEW_JF.jpg

Pia nakaribisha Engineers, Architects na Fundi wa kawaida kama una michoro na ungependa kumuandalia mteja wako BOQ au Schedule of materials mteja wako unaweza wasiliana nami nikakuandalia,nitakuandalia ramani na shedule kwa 100,000Tsh tu.
kwa mawasiliano zaidi nipo dsm ila hata kwa wewe ulie nje ya dar-es-salaam uaminifu ni kitu muhimu, napatikana kwa namba 0754984819 au 0679851483 karibu.
 
Sasa mkuu utajuaje quantity ya Nondo.
Nilichokua namaansisha mkuu, mimi sio muandaaji structural drawings, michoro hiyo naipata kwa waandaji na kuweza kutengeza schedule ya materials, ila nyumba ambazo size na load ni common naweza kutambua standard size na spacing za beams, column na slabs reinforcement.

hivyo basi kwa kutambua size ya cover, bar bendings, overlaps,bar spacing,bar size, grade ya concrete ni kitu kinawezekana kwa nyumba ya kawaida mkuu.
 
nilichokua namaansisha mkuu, mimi sio muandaaji structural drawings, michoro hiyo naipata kwa waandaji na kuweza kutengeza schedule ya materials, ila nyumba ambazo size na load ni common naweza kutambua standard size na spacing za beams, column na slabs reinforcement.
hivyo basi kwa kutambua size ya cover, bar bendings, overlaps,bar spacing,bar size, grade ya concrete ni kitu kinawezekana kwa nyumba ya kawaida mkuu.
Mkuu itakuwa uongo.. common loads ni nini? nyumba ukiamua kujenga professionaly lazima iwe na structural drawings na upate idadi za reinforcement kupitia design calculations!
 
Mkuu itakuwa uongo.. common loads ni nini? nyumba ukiamua kujenga professionaly lazima iwe na structural drawings na upate idadi za reinforcement kupitia design calculations!
Ninachomaanisha common load, ni kama load ambayo foundations inabeba ni kama hizi nyumba zetu za kawaida, ambazo ni tofauti na nyumba zennye stairscase au nyumba zenye floor zaidi ya floor moja, calculations zake mpaka umpate Engineer kama nitazoea nddio mtaalamu zaidi kwenye complex structure.
unafikiri nyumba zetu za mtaani ambazo za kawaida sana kuna structural drawings? nifundi anatumia uzoefu wake.
 
Unajua kufanya structural designs
Sasa mkuu utajuaje quantity ya Nondo.
Na hapa ndio nchi za kiafrika tunapo kwama!!

Kwenye ujenzi kuna QS, Structural engineer na architect!

Kuandaa michoro ya structural design ni kazi ya structural engineer na sio kazi ya QS wala Architect!

Vivyo hivyo kuandaa BOQ kitaalamu si kazi ya engineer wala architect ni kazi ya QS!!

Na kwenye makampuni makubwa ya ujenzi BOQ haiandaliwi na engineer hata kidogo... BOQ ni kazi ya department ya QS yan engineer na architects wakimaliza kazi zao wanazi fowadi kwa ma QS!!

Unless jamaa awe ni civil engineer otherwise sioni tatizo la yeye kuto kujua kufanya structural design!!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom