MKUU SIZINGA....NATUMAI UMESAHAU KUWA JAMII FORUMS NI SEHEMU INAYOTAKA WATU WA-DARE TO TALK OPENLY..ila pia ni wajibu wako wakati una-talk openly "UKUMBUKE KUFICHA UPUMBAVU WAKO"...nayasema hayo kupitia upumbavu wako unaoji-contradict mwenyewe kama ifuatavyo:-
Mkuu labda haunijui au inakuuma kwa kiasi falni kutangaza soko hapa..NAKIRI KUWA SIKUJUWI NA PIA SIDHANI KAMA NAHITAJI KUKUJUWA ILA NACHANGIA HOJA ZANGU KULINGANA NA HOJA ZAKO ULIZOLETA HAPA JUKWAANI..NA PIA SIO INTENTION YA JAMII FORUMS WATU WAJUANA NDIO MAANA KWA WALE WACHACHE WANAOPENDA KUJULIKANA WANEAMUWA KUWA VERIFIED USERS, KUNIUMA KUWA UNATANGAZA BIASHARA YAKO HAPA SIDHANI KAMA INA-UKWELI WOWOTE UNLESS MIE NINGEKUWA NI COMPETITOR WAKO NA "UME-WIN TENDER YA KUTANGAZA BIASHARA JAMII FORUMS TENDER AMBAYO MIE PIA NILIKUWA NA BID "....
kwa taarifa yako tu, mimi ni Qualified Civil Engineer ambapo nina 95% ya kozi ya architecture,.....HAPA NAONA UNAANZA KUFICHUWA UPUMBAVU WAKO A QUALIFIED CIVIL ENGINEER MWENYE 95% ARCHITECTURAL COURSE INPUTS (Nenda ERB ukaone profile yangu.....PIA NAONA UNAENDELEA KUNIAGIZA WEWE QUALIFIED ENGINEER UNAYE-PRACTISE ARCHITECTURE NIENDE ENGINEERS REGISTRATION BOARD NIKAULIZIE PROFILE YAKO NA SIO KUENDA ARCHITECTS AND QUANTITY SURVEYORS REGISTRATION BOARD KUULIZIA REGISTRATION NAMBA YAKO NA PIA PRFILE)
na usifikiri nilisomea kwenye vyuo vyenu kanjanaja hivyo!( KWA BAHATI MBAYA SANA MIE SIO MUUMINI WA VYUO ILA NI MUUMINI WA ELIMU BORA NA INAYOMUWEZESHA MTU AU MWANADAMU KUYAKABILI MATATIZO NA CHANGAMOTO ZA MAISHA YAKE YA KILA SIKU KATIKA MAZINGIRA YANAYOMZUNGUKA...UKISOMEA UDAKTARI WA BINADAMU SAY HARVARD UNIVERSITY NA UKAWA DAKTARI MWANANYAMALA HOSPITALI NA WANANCHI WANAENDELEA KUFA NA WEWE UNAANGALIA HUNA CHA KUFANYA MIE NAONA KAMA HUJASOMA NA HAKUNA DAKTARI...KIKUBWA NI ELIMU ULIYONAYO KICHWANI INAKUSAIDIA VIP NA SIO SHULE ULIYOSOMEA)
Na kitu nilichobakiza ilikuwa ni hiyo tu design ili kisiasa niwe permitted kwani kama Pro nishaqualify!!(NAZIDI KUTHIBITISHA "UPUMBAVU ULIOSHINDWA KUUFICHA"...ULIBAKIZA DESIGN ILI UWE PERMITTED..KISIASA KUWA PRO ARCHITECT?...KWANINI USIENDE KUSOMA HIYO DESIGN FOR ATLEAST 5 YEARS KWENYE VYUO VINAVYOKUBALIKA ILI UWE REGISTERED KISIASA NA UFANYE AKITEKCHA KAMA MTAALAMU ANAYEFAHAMIKA...AU MPAKA U-DESIGN JENGO WATU WAFIE NDANI KWA KIPINDUPINDU KWAKUWA ARCHITECT HUKUWEKA VYOO...NA UMTIE HASARA CLIENT WAKO KWA KUDESIGN JENGO LA GHOROFA 10 USAHAU LIFT NA NGAZI?
Kwenye miradi yangu Na-design Ofisi za Project manager, nshadesign Culverts na zote zikawa approved na Clients through qualified consulting firm ambao walishindwa kudesign na kufanya mradi uchelewe, iingawa niliokoa jahazi!!
For Your information, nondo zangu zote nilizopitia through Design and Drawing steel Structure and Reinforced Concrete pamoja na computer method for analysing these structures ndizo niinazozishusha hapa!( now i can see..a qualified civil engineer na umeweka speciality zako hapa...nitakutafuta for steel structures na hasa large spans kama za godowns na miradi ya mahanga ya kutengenezea ndege...for sensitive designs especially those touching directly the lives of the ones we love the most "family" sikupendekezi ufanye..utatuulia familia)
! Na pia nitawapa mpaka Quantity survey estimation( nadhani kwa hapa kwetu nyie ma-engineer munatakiwa muiite "engineering estimates"...jaribu kuwasiliana na ma-engineer wa hapa nyumbani watakupa baadhi ya miongozo kidogo ya jinsi ya ku-behave kwenye profession zao maana unakuwa kama umesahau "ukifika roma unafanya kama wanavyofanya waroma...pia usisahau design za tanzania bado tunatumia "BS" british standard na watakupa pia design codes wanazotumia kwa concrete na steel )
and evaluation Based on BIM ambayo kwa nchi za watu inakuwa rahisi zaidi kuliko hapa bongo( please engineer activate your mode to operate ki-bongobongo..uzungu hapa sio mahala pake inaweza kukugharimu)
ambapo material mengi ya ujenzi tunayatoa uswahilini...Acha umburula wewe(ahahaaaa..civil eng..sizingaaa...sorry engineer umesema pia una-design box culverts?...hauna knowledge ya "bridges engineering" na large span steel structures jamaa zangu wanatafuta civil engineer wana mradi wa barabara wameupata utaanza soon mitaa ya sumbawanga)