mkuu ramani naweza kuzipata mkuu?
Nilipotea kidogo online...sorry, ramani gani unazihitaji mkuu? We niambie tu unahitaji nyumba ya aina gani,vyumba vingapi na viweje...the rest niachie,just within 2 days ntakupatia na gharama halisi kuanzia foundation mpaka roof na finishing yake
Nakuambia gharama za nyumba utakazotumia kujengea hadi iishe, gharama za ramani tu ni ndogo haizidi laki!!
mi nahitaji nyumba yenye master room moja, guest room moja, vyumba viwili ya watoto na sebule moja.Nilipotea kidogo online...sorry, ramani gani unazihitaji mkuu? We niambie tu unahitaji nyumba ya aina gani,vyumba vingapi na viweje...the rest niachie,just within 2 days ntakupatia na gharama halisi kuanzia foundation mpaka roof na finishing yake
mi nahitaji nyumba yenye master room moja, guest room moja, vyumba viwili ya watoto na sebule moja.
mtindo wa kisasa wa ki western(kizungu) lakini simple.
Hizo nyumba ama shule?................tafakuri
Sp
Nakuambia gharama za nyumba utakazotumia kujengea hadi iishe, gharama za ramani tu ni ndogo haizidi laki!!
Ok haina shida, ikiwa na muonekano wa namna hii utaipenda? It may look like that accordingly, hii ni sample tu ofcoz
![]()
![]()
Inategemea na mahitahi yako...nyumba moja mwingine anaweza kutumia mil 50 na mwingine mil 20 tu...!! Ila kuna standards zake flani flani ambazo ni approximately!! Mara nyingi usimamizi wa nyumba ni muhimu coz mafundi huwa ndio wanaongeza gharama sana!!ok. nimekusoma kwenye gharama za ramani. na hizo zingine za nyumba?
Ok haina shida, ikiwa na muonekano wa namna hii utaipenda? It may look like that accordingly, hii ni sample tu ofcoz
![]()
![]()