2 -1 zinawauma πππMimi huwa sioni anachofanya Chiko ushindi yaani yule ni kama molinga wa yanga enzi izo.
Pale tumepigwaaa
Bro,tatizo kichuya anacheza kufa kupona siku wakichezq na yanga tuTanzania tumekumbwa na kasumba ya kuwahusudu sana wachezaji wa kigeni na kuwadharau wachezaji wa ndani. Mfano wa wachezaji mwenye kipaji kikubwa kisichozingatiwa ni Kichuya. Ni mchezaji ambae anawazidi ubora wachezaji wengi wa kigeni. Nimemfuatilia mara kadhaa,Km shabiki wa Yanga endapo ikitokea napewa chaguo la kuchagua kati ya Kichuya na Moloko nichague yupi mimi namchukua Kichuya.
Kwanini? Kichuya ana speed,dribbling yake iko vizuri,anamikimbio hatari,anauwezo wa kupiga pasi za mwisho na hata kufunga. Siona sababu ya yeye kuendelea kucheza Namungo. Kichuya level zake ni Simba,Yanga au Azam. Najiuliza mchezaji km Chiko Ushindi kapataje nafasi ya kucheza Yanga km si mambo ya michongo!! Hana maajabu yoyote?!
Ungewashauri timu yako ya Simba wamrudishe kutoka Simba C ingependeza sanaTanzania tumekumbwa na kasumba ya kuwahusudu sana wachezaji wa kigeni na kuwadharau wachezaji wa ndani. Mfano wa wachezaji mwenye kipaji kikubwa kisichozingatiwa ni Kichuya. Ni mchezaji ambae anawazidi ubora wachezaji wengi wa kigeni. Nimemfuatilia mara kadhaa,Km shabiki wa Yanga endapo ikitokea napewa chaguo la kuchagua kati ya Kichuya na Moloko nichague yupi mimi namchukua Kichuya.
Kwanini? Kichuya ana speed,dribbling yake iko vizuri,anamikimbio hatari,anauwezo wa kupiga pasi za mwisho na hata kufunga. Siona sababu ya yeye kuendelea kucheza Namungo. Kichuya level zake ni Simba,Yanga au Azam. Najiuliza mchezaji km Chiko Ushindi kapataje nafasi ya kucheza Yanga km si mambo ya michongo!! Hana maajabu yoyote?!
Iyo mikimbio yake uwa inaonekana kwenye mechi ya yanga tu, mechi nyingine anakuwa kama yikpe aliyechangamka, kiufupi anakamiaga yanga sasa usimlinganishe na wachezaji wakubwa wanaokiwasha muda wote bila kuchagua mechiTanzania tumekumbwa na kasumba ya kuwahusudu sana wachezaji wa kigeni na kuwadharau wachezaji wa ndani. Mfano wa wachezaji mwenye kipaji kikubwa kisichozingatiwa ni Kichuya. Ni mchezaji ambae anawazidi ubora wachezaji wengi wa kigeni. Nimemfuatilia mara kadhaa,Km shabiki wa Yanga endapo ikitokea napewa chaguo la kuchagua kati ya Kichuya na Moloko nichague yupi mimi namchukua Kichuya.