Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,520
[emoji23][emoji23] Ni kutoka kwa Kadhi Mkuu .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa mkuu Tumsikilize Mufti au Kadhi Mkuu
Kadhi kaongea kwa niaba ya Mufti Sheikh wangu...tusichanganye na taarifa ya mufti wa Kenya aliyesema Jumatatu mfungo unaanza.
[emoji1787][emoji2] Naomba niishie hapo kwenye "Kadhi kazungumza kwa niaba ya Mufti"Kwa sababu unaongelea habari za Mufti kwa hiyo unamaanisha ni Official Toka Bakwata?
[emoji1787][emoji2] Naomba niishie hapo kwenye "Kadhi kazungumza kwa niaba ya Mufti"
Kwani Masufi wa Tanzania tu ndio mna tarehe zenu ?Tunakamilisha mwezi wa Shaaban 30... Hivyo tarehe 1 Ramadhan NI J4.
Karibu Mpendwa tuSumu sawmun Thelathin.
Makafiri.Duu mkifunga kitimoto watakula kinanani sasa
"Waeyaka" shukraan jazeelan.. For a Muslim Kuna mawili tu, aidha awe akisema Mema au anyamaze (thawabu)Mhhhh,,!!!
Mkuu haya maneno ni mazito saana na yamenigusa saana
JazaaQallah kheyr [emoji1317]
Ivi mshaachana kutibuana Mavi KANISANI?Duu mkifunga kitimoto watakula kinanani sasa