Allahuma Ameen.. BarakaAllahfik.. ujaaliwe Hijja na Umrrah bila kutarajia...Ameen
Kwani TMA hawajatabiri bado?
Ameen.. yaaRabi..Wallah jamani Dunia inakuwa taamu kea watu aina zako!! Maana unaipa ulimwengu haki zake.. Atujaalie wepesi na Rizqi yenye Wasaa!!Aamen mkuu....Mwenyezi mungu atupe afya njema na atupokelee funga zetu inshaallah
Ameen.. yaaRabi..Wallah jamani Dunia inakuwa taamu kea watu aina zako!! Maana unaipa ulimwengu haki zake.. Atujaalie wepesi na Rizqi yenye Wasaa!!
AaminAhi yaa Muslim.. pole pole...tuwe wavumilivu (Mimi na wewe na wenzetu) Allah kajaalia Mwezi siku 30/29 tutaungana mbele huko kuukamilsha... Ramadhan Ina (mafungu 3 kumi la Rehma , kumi la maghifrra na kumi la it min alNarr epuko la Moto)
Tafadhali tusifarikiane !!
Allah ataqabalie Saumu zenu
allah akusamehe ndugu ktk damuDuu mkifunga kitimoto watakula kinanani sasa
Faidi,furahia,JiBariki na jifungie Saumu Lillah imanan wa ihtisaban Lillahi-ta3ala..
Fursa hi adhim kea aliye bahatika..
Wangapi walitamani waliingojea kwa hamu na matumaini...ila Mwenyeezzi Mungu hakuwafikia..
Rehma ziwateremkee popote walipo.;; Ameen
"Leo 05 Mei 2019,kwa makubaliano ya ofisi ya Mufti Zanzibar na Tanzania Bara kwa jitihada za pamoja na kudra za Mwenyezimungu,mwezi haukuandama..Kesho tutatimiza hesabu ya 30 na kwa amri ya Allah Jumanne tutaanza kufunga"~Kadhi Mkuu Tanzania Bara,Sheikh Mnyasi.Wakuu tuekane sawa, kila mmoja anaongea lake..
Hii Taarifa ni Kutoka Bakwata au Sunni??
Maana sisi Mujahideen hatufungamani na upande wowote