Kuwa na akili naww! Ujenzi gani wa kiwanda utafanyika kwa miezi 8?Inamaana kipindi chote cha JPM alikuwa anaangaishwa? Na yule aliyedhulumiwa na kufungiwa biashara kariakoo, na TRA, JPM aliagiza alipwe na fidia, kwa wajuao alilipwa? H5, hatari sana!
Kwaiyo kiwanda kizima kimejengwa kwa miezi 8?Dikteta na kundi lake walikuwa wanamuwekea vikwazo vya kila aina,mzee alikuwa na roho mbaya sana
Kwanza tangia lini kiwanda kikajengwa kwa miezi 8!Lengo lako lilikuwa nini katika kichwa hicho cha habari, huyu Mama yetu hakuwepo awamu iliyopita? Kwanini hakutoa ushauri kwa namba moja enzi hizo?
Nilishawahi kutoa wazo hilo ila wazembe kazini walinishukia kama mwewe kwamba oh experience itapatikana vipi ohh blaa blaa gharama za ku recruit ni kubwa!Uko sahihi, uhuni mwingine unafanyika kwa sababu watu wanaamini wataendelea kudumu katika nafasi zao miaka 30.
Acha tu mkuu.....ndio maana DIASPORA wanasita sana kuwekeza nyumbani....Inasikitisha Sana urasimu unaofanywa na watendaji. Mtanzania mwenzenu unamzungushazungusha tu lakini mgeni
Siempre CHIFU HANGAYA 🙏Kaziiendelee chief
Njoo hapa breakpointLengo lako lilikuwa nini katika kichwa hicho cha habari, huyu Mama yetu hakuwepo awamu iliyopita? Kwanini hakutoa ushauri kwa namba moja enzi hizo?
Wai chato katambikwe dadaKwaiyo kiwanda kizima kimejengwa kwa miezi 8?
Hiki ni kile kiwanda kilichopo kule Mkuranga? Kama ndio jamaa kafanya mambo makubwa sana, kwa mara ya kwanza naenda pale sikutegemea kuwa kile kiwanda ni cha mtanzania tena kutoka Rufiji.Ramadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi
Haswaaa mkuu....Hiki ni kile kiwanda kilichopo kule Mkuranga? Kama ndio jamaa kafanya mambo makubwa sana, kwa mara ya kwanza naenda pale sikutegemea kuwa kile kiwanda ni cha mtanzania tena kutoka Rufiji.
Kiwanda kikubwa sana, kimejengwa vizuri japo kipindi natembelea kilikuwa hakijaisha bado.