Dahhhhh
Ni mwisho wa dunia
Au ni wakati ndugu kupatana..
We kila siku fujo jikoni leo u miss me ..
Nakuja kwa msosi jioni pika kande na
Mchuzi basi .. 🙂
Dahhhhh
Ni mwisho wa dunia
Au ni wakati ndugu kupatana..
We kila siku fujo jikoni leo u miss me ..
Nakuja kwa msosi jioni pika kande na
Mchuzi basi .. 🙂
<span style="font-family: comic sans ms">Afro Mpalestina apike kande? sijui labda mambo ya kukaa mjini na wapare na wairaqw pengine darasa laweza kufanya kazi otherwise mh labda ndizi nyama!!</span>
Hao jamaa nimeishi nao kwao chakula chao kikuu na cha heshima ni makande..... ni sawa na pilau uswahilini, ugali kwa wazambia (ambao hata kwenye harusi ndo the main dish) na Wasukuma pia, machalari kwa wachaga, ndizi kwa wahaya na Basmati kwa wazanzibari.