RAM imejaa, naomba msaada

RAM imejaa, naomba msaada

AMB

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Posts
206
Reaction score
65
Habari zenu wanaJF,
Simu yangu inaonyesha RAM yake inaelekea kujaa, nifanyeje ili niipunguze,maana kwa uelewa wangu RAM ikiwa kubwa ndo simu inaperfom faster, 383MB used 85MB free naomba msaada kwa anaejua.
 
Inamaana kuna process nyingi zinazorun background, you have to stop some processes
 
Habari zenu wanaJF,
Simu yangu inaonyesha RAM yake inaelekea kujaa, nifanyeje ili niipunguze,maana kwa uelewa wangu RAM ikiwa kubwa ndo simu inaperfom faster, 383MB used 85MB free naomba msaada kwa anaejua.

Ram imejaa??
 
Naona kama inaelekea kujaa!
 
RAM inahifadhi sessions au processes kwa muda mfupi tu na baadaye huwa zina evaporate, sasa unapotueleza inajaa mkuu twapata wasiwasi kama kweli wajua matumizi ya aina hii ya memory.

Hebu tueleze simu yako ni aina gani, umeweka apps zipi na kwa wastani huwa unafungua apps ngapi?

Jaribu kutumia applications chache at a time
 
Naona kama inaelekea kujaa!

Punguza application zinazorun in background au uninstall pia kama ni android iko rooted ondoa bloatwares zinamaliza ram bure tu
 
Mkuu natumia TECNO P5
 
RAM hazijai bwana, sana sana zinakuwa overloaded, ROM ndio zinajaaga na kuonyesha free & used space
 
Install "free my ram" iko playstore .ukiikosa huko google "free my ram for android"...
 
Habari zenu wanaJF,
Simu yangu inaonyesha RAM yake inaelekea kujaa, nifanyeje ili niipunguze,maana kwa uelewa wangu RAM ikiwa kubwa ndo simu inaperfom faster, 383MB used 85MB free naomba msaada kwa anaejua.
futa baadhi ya data ambazo si za muhimu saaana
 
Kama RAM imejaa zima simu then uiwashe. kila kitu kitakua kimefutika......
tehtehteh au hujui what is RAM mkuu?:scared::scared::wink2:
 
Oppps! :angry::angry::angry:Hiyo ndo raha ya Android:angry::angry::angry:

Pole sana.
 
RAM imepigwa chini na ikavimba juu, hahahahaaa RAM imejaa.....
 
duuuu haka kapicha kama kanafaa kuangalia...!? mmmmh ngoja ntulie mpaka mwisho ntapata kitu hapa....
 
duuuu haka kapicha kama kanafaa kuangalia...!? mmmmh ngoja ntulie mpaka mwisho ntapata kitu hapa....
:A S-coffee: Thanteni wanajamii kwa michango yenu, nimepata maujanja aithee!
 
pole sana ushauri wangu ni kwamba nenda kwenye setting then google account import to sd then kanunue memory kubwa kidogo then itoe ya zamani weka humo then sema import from sd kila kitu kitarudi mahali pake mkuu siamini kama vitu ulivyoweka kwenye simu yako havina maana vyote vina maana so nunua memory card mpyaa fanya nilivyokuelekeza thank u
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom