Ralf Rangnick kocha mpya wa Manchester united kwa mkataba wa miezi 6

Frustration

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,095
4,059
Ingawa mechi ijayo Karick ataendelea kuisomamia Man United ila mechi inayofuata atakuwepo. Kocha wa Liverpool amesema ni hatua nzuri kwa Man U kumchukua kocha huyo kwani amefanya mengi kwenye mpira wa miguu.

Ikumbukwe Klop na Huyu kocha waliingia katika bifu kubwa wakati akiifundisha Shalk. Moja ya timu alizozitoa matopeni na kuzileta katika dunia ya ushindani ni Hoffenheim and RB Leipzin . Kocha anamiaka 63.

Hivi ni kweli ujio wa kocha huyu ni habari mbaya kwa timu zingine?
 
Ingawa mechi ijayo Karick ataendelea kuisomamia Man United ila mechi inayofuata atakuwepo. Kocha wa Liverpool amesema ni hatua nzuri kwa Man U kumchukua kocha huyo kwani amefanya mengi kwenye mpira wa miguu. Ikumbukwe Klop na Huyu kocha waliingia katika bifu kubwa wakati akiifundisha Shalk. Moja ya timu alizozitoa matopeni na kuzileta katika dunia ya ushindani ni Hoffenheim and RB Leipzin . Kocha anamiaka 63. Hivi ni kweli ujio wa kocha huyu ni habari mbaya kwa timu zingine?
RB leipzin ni nini? Mfano DTB msimu ujao ipande ligi kuu utasema kocha wao ndio kawatoa matopeni
 
Mafanikio ya kocha anawajibika zaidi kocha na ndio maana watu ambao wanaajuriwa mara nyingi zaidi na kufukuzwa mara nyingi zaidi
Kampuni ya redbull ilinunua timu ikabadilisha na jina ikawa RB leipzig ikasajili wachezaji wenye uwezo mkubwa na kocha mkubwa sasa unasemaje kocha kawatoa matopen
 
Back
Top Bottom