wakuu naomba sana mnisaidie nimfahamu mtu anaitwa rajabu kiravu,
huyu bwana alikuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi,
kwa jinsi alivyokuwa akiongea nilishindwa kumwelewa kwa sababu anaongea haraharaka sana,
nahisi kuna siri nzito moyoni mwake,
ni kabila gani,dini gani,naomba nisieleweke vibaya,elimu yake?
asanteni wazee
Ungesema unataka kujua his professional experience ningekuelewa. Lakini kabila na dini yake? Unafikri ndizo zilizomfanya akaongea vile?
mkuu nipo serious na hii issue,kuna mahali nimemwona nikakumbuka mbali sana,
naomba nipe professional yake