Raisi wa Uzbek afariki dunia

Hahahaha lol! Usisahau kumuombea Mungu wa Ikulu ili atuletee umoja na mshikamano nchini kupitia vitisho kila kukicha.
[emoji38][emoji38][emoji38] sawa mkuu
 
Reactions: BAK
Jamaa alikua dictator haswa, aisee but stroke ikamkalisha chin mpk mauti yake,nahic wapinzan watakua wanapumua maana walikua wanatoweka kimyakimya
 
mkuu una wadhamini wa3 na 9M? Maana hawakawii kusema mchochezi
Dah huku niliko ni mbali kuliko kuzimu, nauli ya kuja na kurudi ni kama bajeti ya wizara 5 za TZ kwa matumizi ya huko Duniani, pia safari huchukua miaka 2.5 kwa spidi ya mwanga....Media zilituambia Jua lingepatwa duniani mnakoishi hivi lilipatwa kweli?
 
hahahaaaaa kweli mkuu uko vizuri, lilipatwa huku mbeya sijui kwingine ilikuwaje maana chombo chetu cha kutuhabarisha siku hiyo hakikuwa kazini maana kuna ukuta walikuwa wanaurekebisha. karibu konyagi sijui kama huko zipo 😡😡😡
 
😳😳😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…